Ngagarupalu:
Ni kweli kuna Fumba ya magazeti na vyombo vingine vya Habari, kwa bahati mbaya haviendi kwa MAADILI ya kazi zao, Wameweka mbele UDAKU, UBINAFSI na TAMAA na hayo yamekuwa ndio mchango wao MKUU kwa jammi>
Walichokionyesha Leo Wanahabari wetu katika Viwanja vya Jangwani kukataa kwao kwa Kuwepo Waziri Muhusika kupokea Hoja zao ni Udhaifu, Ujinga na Akili za Kitoto, Inaelekea wamefanya Maandamano hayo bila kujua Malengo na Makusudi ya kweli ya kufanya hivyo. Kwa hiyo inayakinisha kuwa wengi wao...
Panaponishinda kuelewa nipale nisikiapo Mwekezaji kanyang'anya Ardhi, tena mgeni kutoka nje ya Nchi. Yaani mmelala kijijini kwenu Asusubuhi mnaamka mnakuta Wachina, Wahindi au Wazungu ati wamevamia Maelfu ya hekta za Ardhi wanafanya shuhuli zao, yani ndio tuamini hivyo? Au kuna namna...
Mkandara mkuu yani Unamainisha Huyo Profesa mseru (profesa mzima na Dr) kweli ataogopa na kunyali kusema ukweli hata kwenye vyombo vya habari? mkuu haileti maana kabisa.
Na Dr Deo yy alikuwepo na Dr Uli wakati anazolewa mbona hatusikii kutoka kwake?
Ina maana Madokta nao kuna jambo wanaficha?
Mazungumzo ya Mwanakijiji na Dkt. Ulimboka muda mfupi baada ya kupatikana
Posted: 27 Jun 2012 12:04 PM PD
Audio kwa Hisani ya Wavuti blog Tafadhali Bofya Mazungumzo ya mwanakijiji.
Kwanza nimtakie Nafuu ya haraka Dr Ulimboka na pole kwa Familia yake.
Huu ni wakati mgumu na kila mtu atakuwa...
Mkuu niekupata kumbe ni Msemaji na Mtetezi wa CHADEMA sishangai kwa nini mnapalia Mkaa na kulipolitisais hili jambo.
Tusubiri yatakayojiri nasubiri ushahidi wako na Kijosimba.
Sidhani kama mpaka Dakika hii wewe na Kijosimba Mna ushahidi kuwa Polisi wamehusika. Hili Tukio ni kubwa, Baya na la Kusikitisha sasa Watu wasije na Mtandao wao wa kutaka Umaarufu kwa Gharama ya Wengine! au na wewe ni Kinyamana Eboo!!
Hivi Hellen Kijosimba na hicho Kitengo chake ndio wapewe Taarifa ya kupote/kutekwa Mtu kabla ya Jeshi la Polisi ? Inakubalika kweli?. Hellen afike eneo la Tukio ndio waende Polisi!! Mbona Madaktari wantuletea Hadithi za kusadikika? Eti wasomi hao..........!!
Mkuu hizi 3Trilion kwa Mawaziri 55 ni Mafungu kwa Wizara zao? au.........? Ni kweli jamaa Uwiano/Balance umewashinda kabisa. Wameyafumbia macho yale yanayotaka kipaumbele!
Mr Z mm sina takwimu za mishahara ya Madaktari wala watumishi wengine wa Serekali, ila kitu kimoja naweza kukiwekea uhakika kuwa kwa Standard narudia kwa Standard ya Tanzania/Tanganyika Madktari wanalipwa vizuri kuliko watumishi wa Sekta Nyingine. Mbali na ongezeko la kipato , pia wanadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.