He will die like a flies b'se the super power of the world or we can call the watch dog of the world is see each an everything and that dog will dismantle him any time they want!
Kweli kabisa Zitto ni mjinga sana tu kwani andhani ni yeye tu mwenye mawazo ya maana chadema na wala hakuna viongozi wengine wenye mawazo! Ataishia pabaya manake tumeshamshtukia jamani!
Kweli baba waambie manake hatuna viongozi hapa nchini kwetu ila tuna maboga tu yanatuongoza na ndio maana wanavunja uhusiano na nchi kama israel ambayo ni moja ya nchi zenye maendeleo makubwa kiteknologia duniani na pia ni nchi iliyobarikiwa sana manake hata vitabu vya dini kama Biblia...
Siamini hao watu wanaoandika kuwa chadema ni chama cha kigaidi na kamwe hawawezi kuangusha kwa kukisema chama vibaya we are not ignorant s like before leo hii watanzania wanaelewa mambo na pia wanayafuatilia sdana jamani! Na kamwe chadema hawawezi kuwa magaidi ila ccm ndio magaidi!
Jamani hawa Tanesco wanataka tuhame nchi au vipi jamani au wanadhani kila mtanzania ana kipato kizuri nini kama hao mafisadi jamani? Mimi nadhani ni vizuri Nchi iruhusu wawekezaji wengine katika uzalishaji wa umeme iwe kama kwenye mashirika ya simu manake Tanesco iko yenyewe haina mshindani na...
Kweli Mimi siamini kama haya mambo ya ujangili na wizi wa rasilimali zetu hayatambuliki na wakubwa nina imani kabisa ya kuwa vigogo wanajua kabisa na ndio maana hata hakuna linaloendelea kabisa na yataisha hivihivi tu. Cha muhimu ni sisi watanzania kufanya mabadiliko ya kuondoa serikali iliyoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.