Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

Kamuulize mamako si uko nae nyumbani.

Kwenye mijadala yenye tija na maslahi kwa Taifa,mizaha inakua mingi muislamu mwenzangu. Hebu wapuuze hao,tujikite kujadili masuala mapana ya kitaifa. Muislamu mwenzetu JK,mfumo wa serikali ya chama tawala nahisi siyo tatizo.
 
Wadau nimekua nikijiuliza ni kwanini kila Shehena kubwa ya Meno ya Tembo inayokamatwa, km ile ya Zanzibar na Dar es Salaam mara 3 wahusika wakuu ni Raia wa China?

Siku za karibuni ktk mikutano ya CCM iliyokua ikiendeshwa na kusimamiwa na Katibu Mkuu wa CCM akishirikiana na Katibu wa Uwenezi Nape Nauye kanda ya Ziwa,,tulishuhudia BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, akipanda jukwaani na sare za CCM huku akikipigia debe.
Je uhusiano huu wa Ccm na balozi wa China nchini Tanzania haiwezekani ndio sababu kuu ya Wachina kushiriki ktk hujuma dhidi ya Tembo kwa kuwa wanajua watalindwa na serikali iliyoko madarakani ya CCM?

Serikali imekua ikiwapa Wachina kipaumbele sana ktk kutekekeza miradi mbali mbali km vile Ujenzi wa Majengo marefu nchini,,ujenzi wa Barabara lakini sio hivyo tu hata mradi mkubwa wa ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wachina tumewapa Gesi,,tumewapa hata Madini lakini bado hawajatosheka wanaendelea kutuhujumu ktk Mbuga zetu kwa kuuwa Tembo wetu, je ni kwanini serikali yetu inaingiwa na kigugumizi kuwatimua watu hawa nchini na badala yake inaendelea kuwakumbatia??

Je uhusiano uliopo kati ya Mwakilishi (Balozi) wa China na CCM,chama kinachoongoza serikali haiwezi kuwa ndio sababu ya kila Shehena ya Meno ya Tembo inayokamatwa kukutwa wahusika wakuu ni raia wa China?
 
Nyumba ya ccm hawezi safishika bila kupata mpangaji mpya atakae badili rangi na mazingira yote vinginevyo tutaendelea kulialia tu
 
Picha ya Kinana kupanda jukwaani na mchina inanipa shida kuamini kama wachina wapo wenyewe.
Kinana ni jangili fulu
 
Hii ni kali kweli wachina watatumaliza,nashukuru san wale watanzania waliokataa ile rushwa hapo bandarini kutokuwaachia hao wachina,shida inakuja pale unaposikia watapelekwa mahakamani na kipigwa faini ya tsh milion 3 halafu wanaachiwa huru.kweli wachina hawafai lakini ninavyijua mimi wao hawaingii msituni kuna watu wanatumika hapo nao tuwajue ili hii biashara itokomezwe kabisa.kwa nini wasinyongwe haraka kama wao wanavyofanya kule kwao?
Je ina maana raisi na wizara husika hamsikii hii au mnawaogopa wachina?
 
hebu funguka mkuu. wengine hatuna habari na haya uyaandikayo.

Umenikumbusha , Nilikuwa Nawaza Kwanini Jakaya Awe Kiiimya Kwa Ishu Kama Hii, Duuuu Wamemkomoa Kwahili Hana Sauti. Daa Hapa Wananchi Tuingie Mtaani Kutokomeza Hawa Ngozi Nyekundu Hatari Kwa Tembo Wetu , Lizi Anathamani Gani Ukifananisha Na Tembowetu , Tumechoka Hatutaki!
 
Kama Wachina huwanyonga wahalifu huko kwao na sisi huishia Kuwamasogange tu,je haujafika wakati muafaka kwa majangiri wa kichina tuwapeleke kwao wakanyongwe ili liwe fundisho kwa Wachina wenzao?
 
Leo Nimemwona Faiza Akiwa Na Mawazo Mufilisi, Eti Na Hao Walio Wakamata Walikuwa CDM? Anaakili Inayomtosheleza Mwenyewe Huyu Dada. Kama Vp Anijibu Ikiwa Walikuwa Ni Wana CCM .
 
Wadau nimekua nikijiuliza ni kwanini kila Shehena kubwa ya Meno ya Tembo inayokamatwa, km ile ya Zanzibar na Dar es Salaam mara 3 wahusika wakuu ni Raia wa China?

Siku za karibuni ktk mikutano ya CCM iliyokua ikiendeshwa na kusimamiwa na Katibu Mkuu wa CCM akishirikiana na Katibu wa Uwenezi Nape Nauye kanda ya Ziwa,,tulishuhudia BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, akipanda jukwaani na sare za CCM huku akikipigia debe.
Je uhusiano huu wa Ccm na balozi wa China nchini Tanzania haiwezekani ndio sababu kuu ya Wachina kushiriki ktk hujuma dhidi ya Tembo kwa kuwa wanajua watalindwa na serikali iliyoko madarakani ya CCM?

Serikali imekua ikiwapa Wachina kipaumbele sana ktk kutekekeza miradi mbali mbali km vile Ujenzi wa Majengo marefu nchini,,ujenzi wa Barabara lakini sio hivyo tu hata mradi mkubwa wa ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wachina tumewapa Gesi,,tumewapa hata Madini lakini bado hawajatosheka wanaendelea kutuhujumu ktk Mbuga zetu kwa kuuwa Tembo wetu, je ni kwanini serikali yetu inaingiwa na kigugumizi kuwatimua watu hawa nchini na badala yake inaendelea kuwakumbatia??

Je uhusiano uliopo kati ya Mwakilishi (Balozi) wa China na CCM,chama kinachoongoza serikali haiwezi kuwa ndio sababu ya kila Shehena ya Meno ya Tembo inayokamatwa kukutwa wahusika wakuu ni raia wa China?

Mambo yaliharibikia pale mkulu alipokwenda china kunusulu damu yake isipotee, wakati kabla ya hayo kuna naibu waziri alijitutumua kufukuza wachina wa kariakoo wanaouza ice cream na maua akaambulia kupigwa stop na mkulu mwenyewe!
 
Kweli Mimi siamini kama haya mambo ya ujangili na wizi wa rasilimali zetu hayatambuliki na wakubwa nina imani kabisa ya kuwa vigogo wanajua kabisa na ndio maana hata hakuna linaloendelea kabisa na yataisha hivihivi tu. Cha muhimu ni sisi watanzania kufanya mabadiliko ya kuondoa serikali iliyoko madarakanai na kuweka nyingine! Na Wale watakaobainoka kuhusika kwa namna yeyote wanyongwe hadi kufa hata kama ni nani hata akiwa mkuu wa nchi tumechoka jamani!!!!!!
 
Mtapiga sana kelele JF afu mwisho wa siku post moya zitakuja mtasahau, kitakachoendelea hakuna anayejua, kwani hii ni post ya kwanza au ya kumi kuhusu hawa jamaa kuiba meno ya tembo?
 
Umenikumbusha , Nilikuwa Nawaza Kwanini Jakaya Awe Kiiimya Kwa Ishu Kama Hii, Duuuu Wamemkomoa Kwahili Hana Sauti. Daa Hapa Wananchi Tuingie Mtaani Kutokomeza Hawa Ngozi Nyekundu Hatari Kwa Tembo Wetu , Lizi Anathamani Gani Ukifananisha Na Tembowetu , Tumechoka Hatutaki!
mkuu hii habari sidhani kama ni ya kweli. nakumbuka riz1 alienda kwenye media na kulitolea maelezo. hata siku hiyo unayosema jamaa alienda china ilikuwa ni siku ya uhuru wa ruanda na kikwete alikuwa kwenye sherehe huko, siunajua safari ya china ni ya masiku na sio masaa. lakini hata riz1 mwenyewe alisema hajawahi fika huko china na akathibitisha na passport yake.
uwe makini na habari nyigi za humu kwenye mitandao, nyingi ni majungu tu. mfano mzuri ni hii ya juzi ambayo gazeti la t. daima liliandika riz1 amuwakilisha kikwete kwenye mazishi ya mabina kule mwanza kumbe ni uzushi.
kuwa makini mkuu.
 
E- mwenyezi mungu irehemu Tanzania yaani mpaka dakika hii hakuna Taarifa yoyote toka Polisi wa JWTZ kuhusu hili tukio .Na hakuna hata gazeti moja iliyofuatilia Taarifa hii hata kupata Kauli ya Kukanushwa au kukubaliwa na vyombo husika kuwa Tukio hili lilitokea au lah!

Naamini tuna safari ndevu ya Ukombozi ila kinachoniliza ni kuwa hata siku hiyo ikifika kuta kuwa hakuna kilichobaki!
 
Back
Top Bottom