Recent content by Kisiran

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

    Huyo kweli Mzee wa Bandari 😂😂😂
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa huu mtihani

    😂 😂 😂 😂
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya mgongo sugu wa juu, mabegani na misuli shingo kukaza homa ya uti wa mgongo (Pneumonical Meningitis)

    Sidhani kama kuna kupona Hapa, hadi oparation. nayo ni ghali sana. Mie nimekubali kuishi nao kama wagonjwa wa ukimwi vile
  4. K

    JamiiForums Tanzania Madawa ya kulevya yalivyo mpoteza matembo Suz perez

    Yuko ufaransa kwa sponsa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya mgongo sugu wa juu, mabegani na misuli shingo kukaza homa ya uti wa mgongo (Pneumonical Meningitis)

    Hayo ndio maisha yangu ya kila siku, tangu niligundua Nina Hilo tatizo Mwaka 2010,hadi Leo naishi nalo bila kwenda kwenye matibabu yoyote wala kutumia dawa zozote za kutuliza maumivu. Katika hayo unayo pitia hapo, kwa upande wangu ongezea na maumivu makali sana ya kichwa.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sura mbaya inanikosesha wachumba, nifanyeje?

    Kwanini usimtafute huyo Beki 3 uliezaa nae umuoe?
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sura mbaya inanikosesha wachumba, nifanyeje?

    Yani nilivyoanza kusoma hiyo Paragraph ya kwanza tu, nikaweka Like fasta.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

    We jamaa kama umeniona vile 😅
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Wakuu wa Mikoa na kuna Amos Makalla. Rais Samia anapaswa kujiuliza mambo mengi

    Nina wasiwasi na Elimu yake itakuwa Ndogo sana.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    Ukweli mtupu
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ogopa sana kuzaa na mchepuko pasua kichwa, nafanya hivi kumkwepa

    Hapo Sasa, kuvumilia hayo maisha ndio ngumu. Naweza hata kumdedisha
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu kweli, eti mtu kashaliwa kichwa

    Shida Wasomali ni AL shabab (Magaidi)
Back
Top Bottom