Recent content by Kisingisa

  1. K

    Tanzia: Naibu Meya CHADEMA Moshi Mjini afriki dunia

    Naibu Meya wa manispaa ya Moshi Vicent Rimoy (CHADEMA) amefariki dunia ghafla mchana leo kwa shinikizo la damu, MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMEN.
  2. K

    Rais Kikwete awasili Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa Amani katika Maziwa Makuu

    Bora usiongee kabisa makatibu wakuu wenyewe hawaelewani na wakuu wao katibu wa elimu anataja devision 5 waziri anasema devision 0 kuna uongozi kweli hapo? sekta hazina utendaji wa pamoja timu wake, rais au waziri akiondoka ofisi iko wazi anasubiliwa yeye ndo kila kitu.
  3. K

    Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

    Hata mimi naunga mkono hoja wasaliti wapigwe tu :cool:
  4. K

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    Wakati wa kulipa kodi hakuna MACHADEMA wala MA CCM Rais ni mwajiri wa walipa kodi so ni lazima tujue mshahara wake na hao kenge wanao lalamika wakae pembeni kama wanaona noma mishahara yao kujulikana wajiuzulu watu kibao wanazihijaji hizo ajira.
  5. K

    Dr. Slaa: Kwa VILE CCM na Kikwete Hawajui Kwa nini Watanzania ni Masikini- Chadema Ina Jibu !

    wenzenu hizo sehemu wanaingia Kufanya utafiti Na kuleta mbinu zitakazo endeleza taifa sasa Nyie mnaingia Kutalii Pumba Nyie.
  6. K

    Rais Kikwete aagiza shule zote za kata nchi nzima kuwekewa Umeme haraka!

    Ha ha ha ha anae kaidi agizo hili apigwe.
  7. K

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Kyela

    ha ha haa ukiangalia kwa halaka halaka ccm ni mkoloni.
  8. K

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Kyela

    Hii nimeipenda karibu uhuru utapatika.
  9. K

    Picha: Ziara ya Zitto Kabwe kanda ya Magharibi,jimbo la Igalula

    sie yetu macho...tunataka mabadiliko katika nchi hii
  10. K

    Demu wa " UDOM" afungashiwa zawadi ya matambara machafu na mume wa mtu!

    mkuu hawa mademu usikute hata siku unamuoa kibabu kinamnunulia hata nguo ya send off aiseee....halafu kinatoa zawadi kubwa..... nalog off aghhhhhhh
  11. K

    Demu wa " UDOM" afungashiwa zawadi ya matambara machafu na mume wa mtu!

    aiseeee wengine huwa tunachunguza kidogo manake bata nae ana mambo mkuu!!!
  12. K

    Demu wa " UDOM" afungashiwa zawadi ya matambara machafu na mume wa mtu!

    unataka mvuto au kueleweka?hata shuleni mwalimu haangalii mwandiko ukoje anaangalia ulichoandika kinaeleweka??pole kwa kukosa kuuona mvuto kwenye story yangu
Back
Top Bottom