Recent content by Kisimbusi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Usanii at its best...please stop it Dr. Mwakyembe! This is more than ridiculous!

    The appearance is more attractive than the essence. Ziara ya kushutukiza inapataje coverage ya vyombo vyote vya media?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya CUF: Kauli ya Kova juu ya Sheikh Ponda ni ya kumhujumu Rais Kikwete

    Huyu aliyesaini tamko ndiye aliyeandika tamko au kaandikiwa na typist bila kupitia?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Operation ya JK imeendeshwa kinyume

    Wewe ni mhamiaji haramu, au ndugu zako wahamisji? Pole
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

    Una kura ngapi? Kura yako ni ya veto?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Fikiria nje ya Box kuhusu Ugaidi wa Zanzibar na Tanganyika

    Yaani unajitumbukiza ndani ya box ili uonekane unajua kufikiri nje ya box? Get out of the box, idiot
  6. K

    JamiiForums Tanzania London Evening Standard

    Mi naona Habari ya tindikali imefunika kimataifa kuliko hata moto wa airport kenya. Sasa international media imepata mlango wa kuingilia Tz. Tunahitaji kujisafisha. Tabia ya kusubiri watu wasahau imesha expire
  7. K

    JamiiForums Tanzania Matukio yaliyotikisa Tanzania tokea tupate uhuru

    Kimeshanuka kimataifa. Itachukua miongo kadhaa kusafisha uso wa Tz. Siyo serikali hii na chama chake
  8. K

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja juu ya madawa ya kulevya ITV Nzowa na Kato wameyumba

    Hiki kipindi kina fursa ya kuisaidia sana nchi hii kama kikipata waongozaji wenye weledi na wasio waoga
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

    Yuko sahihi. Hana sababu kuwafukuza watanzania walioingia Rwanda kwa sababu hawakuingia na silaha za kivita, hawafanyi ujambazi, hawauwi wanyarwanda, hawaendi kupora ardhi, hawaendi kuhonga wachaguliwe kuwa viongozi wa vijiji
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, Hili zoezi lisiwe kwa wanyarwanda tu bali liwe kwa wengine pia

    Hao wahamiaji wengine siyo majambazi na wauaji
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    Tangu ashike cheo cha naibu katibu mkuu wa ccm amejitahidi sana kukifanya chama chake kupoteza mvuto kuliko kabla hajapata hicho cheo. Amejitahidi sana kuongeza idadi ya Wabunge na Madiwani wa Chadema (pamoja na ile 4-0 ya Arusha). Amejitahidi sana kufanya wananchi wapungue kwenye mikutano ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sijapenda: Magazeti kupamba na kukuza habari ya JK kuhusu mipaka, mnamdanganya nani?

    This guy Nicholas, is a disgrace. Going back to school won't help him either
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM

    Kuna watu wanakusingizia elimu ndogo uliyo nayo uliipata kwa shida sana. Kuvulia chupi kila mwalimu wa kiume. Ila sikujua kama ulianza huo ujasiri tangu ulipokuwa darasa la nne. Kwa sababu hiyo methali inafundishwa darasa la nne. Inaitwa hivi, kuvunjika kwa KOLEO siyo mwisho wa uhunzi. Koleo la...
  14. K

    JamiiForums Tanzania NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    Wakati Chadema walipokuwa wanakataa kuunda ushirika na vyama vibgine vya upinzani sikuwaelewa. Sasa ninawaelewa. Waliona mbali sana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    I know Kagame is smarter than this. Someone is putting words in Kagame's mouth. Stop it
Back
Top Bottom