Aliyekuwa mbunge wa Bukoba na kushindwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 anaendelea kupata misukosuko. Katika redio yake ya Kasibante hali si shwari, wanatimuana na kushikna uchawi. Soma barua hapo chini
Wewe ulipiga kura jimbo gani? Nani alishinda? Kagera hawachagui 'wanyamahanga'. Muulize masterwily alikwenda kugombea bukoba mjini akifikia guest. nani akuchague. fikra kuwa jimboni ni site tu ya kuchukulia ubunge haipo tena tz.
Kama Dr Magufuli anataka kuzika tofauti za kisiasa katika CCM na kuanza upya kujenga chama hana budi kuingiza wapinzani ndani ya CCM katika serikali yake.Watu kama kimbisa,sophia simba,Emmanuel nchimbi,Bashe nk hawana budi kuingizwa katika serikali hii mpya ili kuleta umoja katika chama.
kwa...
Kwani wapiga kura si ni wale wale? sababu zilizosababisha kufutwa za zanzibar si ni hizo hizo zinazofuta za muungano automatically? tujiongeze kidogo kujiuliza
Wanasheria jitokeze hapa kudadavua hili suala.
Kama NEC itatangaza mshindi wa urais wa Muungano ataunda vipi serikali bila wabunge wa zanzibar?
Je Bunge la Muungano litaitishwa vipi na kuchagua spikika bila wabunge wa muungano kutoka zanzibar ambao wamefutwa na ZEC?
Je mshindi aliyetangazwa na...
Mgombea ubunge jimbo la Bukoba mjini kupitia CHADEMA/UKAWA Wilfred Lwakatare amemaliza kazi ,anasubiri tu kuidhinishwa rasmi Jumapili kulingana na hali ilivyo katika hilo jimbo.
Sababu kubwa iliyofanya kagasheki apigwe mweleka ni mgigoro katika CCM ambapo wana CCM wenyewe wanasema mgombea wao...
Anaitwa HAMIDU KOMUNGOMA(kushoto kwako) mkazi wa kashai,tayari amehojiwa jana na TAKUKURU .
Nashangaa gazeti la mwananchi na takukuru kudai eti bado mtandao haufahamiki.
tunazo video alizorekodiwa akiomba kununua kura kupiia mfumo wa kutaka kutoa mikopo,kazi inafanyika usiku
SOMA HAPA CHINI...
Kagasheki akishinda ubunge mwaka huu basi tena.
Asubuhi nimeleta uzi ukafutwa
anaendesha kampeini za kibabe ,hawezi shinda.
kuanzia wiki ijayo nitaleta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.