Wanasheria jitokeze hapa kudadavua hili suala.
Kama NEC itatangaza mshindi wa urais wa Muungano ataunda vipi serikali bila wabunge wa zanzibar?
Je Bunge la Muungano litaitishwa vipi na kuchagua spikika bila wabunge wa muungano kutoka zanzibar ambao wamefutwa na ZEC?
Je mshindi aliyetangazwa na NEC atasubiri mpaka zanzibar warude uchaguzi hapo mwezi februari 2016?
Je nchi itakuwa chini ya nani,bila mawaziri nk.
Naomba kujua kutoka kwa magwiji wa sheria