Recent content by KISHOKA_ZUMBU

  1. KISHOKA_ZUMBU

    Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

    Jifunze kuwa mvumilivu. Kama somo hilo wazazi wako hawakukupatia jifunze sasa usilete mambo yako ys udini humu...
  2. KISHOKA_ZUMBU

    Nataka niende Moshi na Boxer X150 nipeni ushauri wakuu

    Sikushauri hata kidogo sio kwa kuwa boxer haina uwezo wa kufika Moshi, bali harari utakazokutana nazo njiani. Gharama yake ni bora ulipie luxury coach tu. Utafika mgonjwa kwa kupigwa na upepo...
  3. KISHOKA_ZUMBU

    Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Msaada kwa anayefahamu namna ya kufungua ALIS ya UDOM, maana maelekezo ya kuingiza index no ya iv na surname capital letter haifungui......AGENT PLS!!
  4. KISHOKA_ZUMBU

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Dah mi kweli kishoka, nime like hata nisivyo vi like!!!!! ^_^
  5. KISHOKA_ZUMBU

    Ushauri: Biashara ya kubeba abiria Moshi - Tarakea

    Hapo ndio utapata ukweli wote, fanya kama msafiri tu hivi kisha unafanya observation mwenyewe
  6. KISHOKA_ZUMBU

    Ushauri: Biashara ya kubeba abiria Moshi - Tarakea

    Hii ukimpata mtu yupo Moshi Stand atakupa majibu mubashara mkuu
  7. KISHOKA_ZUMBU

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Duh! Poa nimekulike, nawe fanya hivyo bana
  8. KISHOKA_ZUMBU

    Paul Makonda amehamisha show room zote za Magari, Kuanzia January 2018

    Mkuu wa Mkoa wa mfano kwa wengine pia, mbunifu na mchapa kazi. Wananchi hawahitaji madegree, wanahitaji utendaji uliotukuka tu basi!
  9. KISHOKA_ZUMBU

    Updates: Maandamano ya CHADEMA Arusha, Hai, Mwanga na Same

    Aah! Mkoa wa Arusha wilaya za......................:flame::flame::flame:
  10. KISHOKA_ZUMBU

    Kwa wanawake watafutao watoto bila mafanikio

    Hahahaaaa! Ondoa shaka uliyo nayo
Back
Top Bottom