Recent content by Kishoka2

  1. Kishoka2

    Stress Free Zone

    :oops::D
  2. Kishoka2

    Stress Free Zone

    Mninga unapasuka tu mkuu
  3. Kishoka2

    Stress Free Zone

    Salama mkuu
  4. Kishoka2

    Stress Free Zone

    Naitwa Kishoka mpasua msonobari
  5. Kishoka2

    Stress Free Zone

    Stress Free! Mwendo wa kuondoa stress tu humu!
  6. Kishoka2

    Stress Free Zone

    Daah asante mkuuu
  7. Kishoka2

    Stress Free Zone

    Mmmh! Hodi humu
  8. Kishoka2

    Siasa za siku hizi ni siasa uchwara

    Right ungekuwepo nyakati hizo za Mwalimu, hii quote ungeitafakari kwanza.
  9. Kishoka2

    Siasa za siku hizi ni siasa uchwara

    Ni uhuru gani tena unaouzungumzia mkuu?
  10. Kishoka2

    Kwanini Ahlul-Badri ya mabaya waliomshambulia Lissu itafeli kwa 100%

    Hivyo visomo ni ushirikina wa dhahir shahir, kitabu gani wanapata ruksa ya kusoma hivyo visomo??
  11. Kishoka2

    Siasa za siku hizi ni siasa uchwara

    Siasa za leo nyingi ni siasa uchwara, siasa za kuchafuana majina, siasa za kutukanana, siasa za kukashifiana. Siasa gani hizi zinawatenganisha watu katika jamii? Siasa hizi zinawafanya watu wasiombane chumvi, ni siasa gani hizi? Siasa hizi wengine wanaziita siasa za maji taka, ni maji taka...
  12. Kishoka2

    African Democracy

    Demokrasia ni hali ya watu kuwa huru kuchagua au kuchaguliwa, kuwasilisha maoni binafsi kwa mujibuwa sheria bila pingamizi, uhuru wa kuchagua itikadi ama dini nakadharika. Kwa kiasi kikubwa bara letu la Afrika limekuwa likifuata demokrasia ya kimagharibi. Misingi ya demokrasia hii ya...
  13. Kishoka2

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    I concur with you chief, mabadiliko yoyote huanza kwa mtu mmoja mmoja. Inabidi wahenga wenzangu tuungane ili kukomesha hili la mavazi yasiyo taswirisha tamaduni zetu. Sio mtu ni muhenga wala sio "mhenga", unakuta nae kavaa kata nini sijui. Tuvae kuonyesha mfano kwa vijana ambao ni wazazi wa kesho.
  14. Kishoka2

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    Ni shida sana madukani siku hizi kupata nguo. kuna wakati nilitoa pesa ya kutosha kununua nguo, jeans, kadet, na za vitambaa. Niliambulia za vitambaa kidogo zinavalika. Jeans na Kadet zote kata K ^_^
  15. Kishoka2

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    Lazima wizara inayohusika ifanye kazi yake ya kulinda tamaduni zetu za Kitanzania. kama wao wenyewe watoto wao wanavaa hovyo na wanaona sawa hiyo ni shida! Nakumbuka wakati wa Hayati Mwalimu ilikuwa anayevaa nguo isiyofaa anasaidiwa kuwa uchi kwa kiwembe!
Back
Top Bottom