Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

Wallet zao siku hizi zina business cards tuu. Twende mbele turudi nyuma wazee wako na chapaa ndefu kuliko vijana. Na wazee wanawazidi vijana sanaaa hata kwenye nguvu za kiume.

This is very true. Nilikua kwenye kitu kimoja cha kuziba Pancha nikawa nafanya tafiti ya wanaokwenda kuziba Pancha yaan ktk kituo kimoja vijana wa kiume 20 waliokuja 6 kati yao wanahitaj huduma ya kupigwa jeki.na hao ni kati ya miaka 25-40

Wakati watu wazima wa kuanzia miaka 45-60 kati ya sampuli 50 ni mmoja tu alihitaj kupigwa jeki

Sent using Jamii Forums mobile app
wamelegea kama mlenda wanipitie mbali
 
Life is short.Katika muda mfupi uliopewa hapa duniani unataki ufanye chocho kikupacho raha alimradi akiwakwazi wengine.Kama furaha yako ni kuvaa nguo kama za akina Pepe Kalle ni sawa ila waache na wenzio wafanye wanayopenda.
Jaribu kutumia mantiki ili twende pamoja. Life is short, so what?.

Unaposema hakiwakwazi wengine, Je unafahamu fasili ya neno kukwaza/kuudhi?.

Pili sijakuambia furaha yangu ilipo, kwanini unanilisha maneno ambayo sikuyasema?.

Jifunze kuandika kwa unadhifu.

Karibu.
 
Ndugu mimi nitaendelea kuvaa nguo nitakayo ata kutembea na chupi naweza fanya hivyo.Kama hupendi wewe jinyonge tu ufe.
 
Ndugu mimi nitaendelea kuvaa nguo nitakayo ata kutembea na chupi naweza fanya hivyo.Kama hupendi wewe jinyonge tu ufe.
Sijakukataza kuvaa nguo unayoipenda. N'nachokihitaji ni utetezi wa huo uvaaji wako kwa kutumia mantiki.

Usiponieleza nita-connect dots zangu na kufunga mjadala.
 
Sijakukataza kuvaa nguo unayoipenda. N'nachokihitaji ni utetezi wa huo uvaaji wako kwa kutumia mantiki.

Usiponieleza nita-connect dots zangu na kufunga mjadala.
Mjadala umeshafungwa.Na kwa sasa nimevaa nguo tajwa katika mada hii.Watu wajifunze kuvumiliana na kuheshimiana.
 
Maadili ya Kitanzania/Kiafrika kwa kweli inahitajika nguvu ya ziada kuyasimamia, hii ni aibu sana kwa Taifa.
Ni adhari za Globalization hizi!
 
Upo msemo mmoja wa kirumi "Mens sana in corpore sano".

Ahsante kwa ushirikiano. Nimejifunza.
"Mens sana in corpore sano=physical exercise is an important or essential part of mental and psychological well-being".....sijaelewa shabaha yako ya msamiati huu ila nakupa poleza dhati kama una changamoto za afya ya akili.Nadhani umri umekutupa sana au ni mstaafu.

Rai yangu kwako bila kujali aina ya mavazi tuvaayo ni kuwa tuungane pamoja kumuombea Comrade Lissu.:D
 
Unafahamu fasili ya neno tafiti (research), etimolojia ya neno hili na kadhalika?.

Tuanzie hapa kwanza.
Sasa wewe unakuja kielimu elimu. Mimi nimefanya utafiti usio rasmi na unaonekana kwa macho sio lazima nifate process za kufanya research. You just wait and see...ina maana huoni vijana wanavyovaa siku hizi?
Kavulana kamevaa kike kike, blouse kasuruali kamembinua na sandoz za dada yake unategemea nini? Na wapo wengi sio hata wa kutafuta.
Research za makaratasi wafanye wakufunzi..
 
hawa wanamuziki wetu ndio nao wanacopy full
Tatizo ni Elimu.

Ukiwa na elimu ndogo unaona kila kitu juu juu. Lakini kadiri unavyozidi kusoma unakuja gundua kuwa maisha si rahisi. Ndiyo maana waingereza wana msemo wao "Elimu ndogo ni jambo hatari sana".

Hawa wanamuziki hawajui fasili ya neno sanaa. Kazi yao kubwa ni kutuuza utumwani na si kingine. Kuanzia wanavyoimba, miondoko, lugha, mavazi na kadhalika ni baadhi tu ya viashiria.

Lugha, utamaduni ni Sanaa. Wanachoshindwa kabisa kufahamu ni kuwa muziki ni mirindimo. Anapoimba Alpha Blondy hatumii kizungu lakini muziki utabaki pale pale kuwa ni wa visiwa vya carribean (Jamaica).

Nipo namsikiliza Msanii, Mrisho wa Mpoto kwa mbaaali na kibao chake kipya kiitwacho kitendawili..
 
"Mens sana in corpore sano=physical exercise is an important or essential part of mental and psychological well-being".....sijaelewa shabaha yako ya msamiati huu ila nakupa poleza dhati kama una changamoto za afya ya akili.Nadhani umri umekutupa sana au ni mstaafu.

Rai yangu kwako bila kujali aina ya mavazi tuvaayo ni kuwa tuungane pamoja kumuombea Comrade Lissu.:D
Kwani nae anavaa suruali za kubana??
 
Sasa mbona watumia lugha iso na adabu?.

Tujadili kwa kuongozwa na mantiki. Nguvu ya hoja ndiyo msingi wa tafakuri na si hoja ya nguvu Mkuu.

Nashangaa sana n'napokutana na watu wanaofahamu umri wa watu humu Jamvini, majina yao pamoja na kazi zao. Umri umenitupa, una uhakika?.

Hekima ni Uhuru.
 
I second you Kishoka2 .

Nguvu zipi za ziada zinazohitajika?. Karibu tujadili.
Lazima wizara inayohusika ifanye kazi yake ya kulinda tamaduni zetu za Kitanzania. kama wao wenyewe watoto wao wanavaa hovyo na wanaona sawa hiyo ni shida!
Nakumbuka wakati wa Hayati Mwalimu ilikuwa anayevaa nguo isiyofaa anasaidiwa kuwa uchi kwa kiwembe!
 
Mimi nimefanya utafiti usio rasmi na unaonekana kwa macho sio lazima nifate process za kufanya research. You just wait and see
Kwanini urasimishe utafiti uso rasmi?.

Unasemaje "Baada ya miaka 50 hakutokuwa na suruali ya kike wala ya kiume"?.
 
Sasa mbona watumia lugha iso na adabu?.

Tujadili kwa kuongozwa na mantiki. Nguvu ya hoja ndiyo msingi wa tafakuri na si hoja ya nguvu Mkuu.

Nashangaa sana n'napokutana na watu wanaofahamu umri wa watu humu Jamvini, majina yao pamoja na kazi zao. Umri umenitupa, una uhakika?.

Hekima ni Uhuru.
hahahaha sawa baba!
 
Kwanini urasimishe utafiti uso rasmi?.

Unasemaje "Baada ya miaka 50 hakutokuwa na suruali ya kike wala ya kiume"?.
Kwasasa siwezi kufanya utafiti rasmi kutokana shughuli zangu itaniwia vigumu. Pia sina interest sana na mambo ya research labda nipate elimu kidogo. Nawaachia watu wa academics maana wapo kwenye position nzuri.
.
.
Kweli hakutakuwa na nguo ya kike au ya kiume tutakuwa tunavaa yoyote. We subiri..time will tell.
 
Back
Top Bottom