Recent content by KISHINDO

 1. KISHINDO

  Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

  Ndo umekuja kunianika huku JF????? Poa We nenda LAKINI UTANIKUMBUKA TU. Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 2. KISHINDO

  Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

  Hakuna dharau kubwa kwa mwanaume kama hiyo. Ni Mwanaume ZOBA pekee ndiye anayeweza kusamehe huu Usaliti. Hata kama tungekuwa na watoto 50 na mali nyingi..... Hizo mali zote ningemwachia huyo mwanamke ili mimi niwe SALAMA. Kama atakubali kuendelea kuishi naye MWAMBIE AANDAE JENEZA LAKE MAPEMA.
 3. KISHINDO

  Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

  Hao 2.7 m ndo population ya Tabora. Kapimwe haja kubwa kuepuka Corona ya Akili
 4. KISHINDO

  Msaada: Jinsi ya kupata visa ya England bila vikwazo

  Nenda Ubalozi wa Uingereza utapata taratibu zote. Kabla hawajatoka kwenye Umoja wa Ulaya ilikuwa inatumika viza ya Shenghen ambayo mtu alikuwa anaendai katika nchi zaidi ya 20 za Umoja wa Ulaya bila kuulizwa. Ili mtu aipate hiyo Shenghen Visa alipaswa awe na:- 1. Barua ya mwaliko kule aendako...
 5. KISHINDO

  Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

  Waliofurahia kifo cha Magufuli hayo ndiyo matokeo. Na bado.
 6. KISHINDO

  Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

  Mtu wa mkoani aweza ipataje hii???
 7. KISHINDO

  INAUZWA Friji la LG na SONY home thietre vinauzwa vyote kwa 950,000

  Umeshaviuza au bado????? Utaratibu ukoje kama mtu yuko mkoani Singida, Tabora, Shinyanga au Kigoma???
 8. KISHINDO

  Phone4Sale Pata simu kali za oppo hapa kutoka oppo brandshop China plaza

  Utaratibu wenu katika mauzo ukoje kwa mtu ambaye yuko nje ya Dar????
 9. KISHINDO

  Nundu la Ole Sabaya kichwani kwake limetokana na nini?

  Uwe makini na wewe usije ukaingiziwa dushe Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 10. KISHINDO

  Nundu la Ole Sabaya kichwani kwake limetokana na nini?

  Nami niliiona nikawaza labda jamaa walitaka NYAA akagoma wakampiga nyundo kidogo then akatoa mzigo bila shida. Alokuwa akiwafanyia wenzake na yeye anafanyiwa na watoto wa town
 11. KISHINDO

  Naomba kufahamu kuhusu Elimu ya masafa (Open University)

  We mwizi tu. Unataka upate ugali wa leo kupitia ndugu aliyeuliza. Nikushauri: FANYA KAZI ACHA UDWANZI
 12. KISHINDO

  Tujuzane Ishara za 'Kiuchawi' na "Kiuchuro' kutoka kwa Wanyama, Wadudu na Ndege kwa Binadamu (Mwanadamu)

  Ukiona mtu anaongea ongea mambo ya kichawi kichawi jua huyo ni mmoja wao maana wanafahamiana wao kwa wao.
 13. KISHINDO

  Top 10 Places You Aren't Allowed To Visit

  Kapige wewe hizo picha ulete
Top Bottom