Ushauri: Niende PhD au niendelee na mapambano

Kuna shughuli nazifanya mkuu, ambazo naokutana nao wakati wa ku defend proposal zangu.
Pia nikiwasilisha proposals za miradi naona wanachukulia pia mwenye PhD ana uzoefu sana.
Hujajibu swali uliloulizwa au niseme hujafafanua. Kama unataka kuwa tajiri siyo lazima usome hiyo PhD unaweza kutokea hapo hapo ulipo, kama unataka kuwa msomi unaweza kuendeleza na PhD, kama unataka kuwa msomi tajiri unaweza kuendelea na PhD.
 
Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye taasisi na makampuni tofauti tofauti Tanzania.

Hizi side hustles nilizianza baada ya kupiga masters kutoka kutoka moja ya vyuo vikongwe hapa nchini mwaka zaidi ya saba iliyopita

Sasa taasisi niliyokua naifanyia kazi imefunga shughuli zake Tanzania, so kwa sasa nitakua nimepata muda free as nitaendelea na side hustles zangu japo sitakua na permanet job. Kwa sasa nimepiga side hustle flani nikapata kiasi flani ya pesa karibia $13,000. Sasa nikawaza, ili kubaki kwenye peak ya pyramid niongeze elimu ya juu kutoka Uzamili (Masters) hadi Uzamivu (PhD), hii ni kuongeza tu umahiri kwenye shughuli zangu maana baadhi za taasisi nazozifanyia kazi km sxpert ni za UN.

Program yenyewe ya PhD ni ya 3-4 years, naamini nikiwa nikijiunga nayo nitakutana na fursa zingine tena, huenda zikanisukuma kwenda mbele.

Kwa wale mliopiga masomo ya uzamivu kwa kujilipia, kiasi cha hele nilichonacho naweza kamilisha ndoto yangu au niendelee na mishe zingine tu?

Note: Masters pia nilisoma kwa kuunga unga (nilijilipia nikiwa na sina kazi maalum pia) tu but baada ya kumaliza nilipata deals zilizobadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa. Pia field yangu ni ya Sayansi, sio masomo ya sanaa na utafiti wangu wakati wa masters nilifanya molecular biology.
Asanteni.
Wee piga phd hiyo mwanawane ukiingia un huko utakuja kula mshahara mil 100 kwa mwezi ata side hustle utaona ungese tuu.
Piga shule mwanawane....haiwezi kukutupa ata siku moja
 
Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye taasisi na makampuni tofauti tofauti Tanzania.

Hizi side hustles nilizianza baada ya kupiga masters kutoka kutoka moja ya vyuo vikongwe hapa nchini mwaka zaidi ya saba iliyopita

Sasa taasisi niliyokua naifanyia kazi imefunga shughuli zake Tanzania, so kwa sasa nitakua nimepata muda free as nitaendelea na side hustles zangu japo sitakua na permanet job. Kwa sasa nimepiga side hustle flani nikapata kiasi flani ya pesa karibia $13,000. Sasa nikawaza, ili kubaki kwenye peak ya pyramid niongeze elimu ya juu kutoka Uzamili (Masters) hadi Uzamivu (PhD), hii ni kuongeza tu umahiri kwenye shughuli zangu maana baadhi za taasisi nazozifanyia kazi km sxpert ni za UN.

Program yenyewe ya PhD ni ya 3-4 years, naamini nikiwa nikijiunga nayo nitakutana na fursa zingine tena, huenda zikanisukuma kwenda mbele.

Kwa wale mliopiga masomo ya uzamivu kwa kujilipia, kiasi cha hele nilichonacho naweza kamilisha ndoto yangu au niendelee na mishe zingine tu?

Note: Masters pia nilisoma kwa kuunga unga (nilijilipia nikiwa na sina kazi maalum pia) tu but baada ya kumaliza nilipata deals zilizobadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa. Pia field yangu ni ya Sayansi, sio masomo ya sanaa na utafiti wangu wakati wa masters nilifanya molecular biology.
Asanteni.
Tafuta mahkaji unaemuamini mpe akuendelezee side hustles zako ili kipato chako kisikae iddle ,if possible lakini.
Then endelea na Phd.
Utekelezaji mwema
✍🏿 The introvert
 
Kama hujuia cha kufanya na ulikuwa tayari una masters na unakuja kuuliza humu, then I doubt your Master degree
 
Asante sana mkuu.

Side hustles zangu mostly ni utalaam yaani (expertise) kwa hiyo hamna mtu mwingine anaweza fanya zaidi yangu; so shule nayo haiwezi zuia kuifanya nadhani ndio nitakua sehemu sahihi zaidi ya kuifanya maana mostly ni zoom meeting sana

Toka nimalize undergraduate nilianza kufanya kwa kujitolea ila kadri muda unavyozidi ilinijengea uwezo na mtaaji wa uaminifu, miaka 7 baada ya kufanya na kwa malipo kidogo Mungu ndo alianza kufungua njia, nikaanza kupata kipato cha kueleweka. Nashukru Mungu toka.nimalize chuo, zaidi ya miaka 10+ sijawahi tembeza bahasa kutafuta kazi, nilianza tu na kile nilichomaliza nacho kuanza ku-implement ila niliteseka sana hadi kufika hapa nilipo.

Baadaye nilirudi kuongeza masters ambapo shughuli zile zikaanza kulipa zaidi hadi mara 20 zaidi ya mwanzo ukipata gap.
Japo gap moja unaweza pata 10M afu ukakaa hata miezi 5 bila kazi au 5M kwa dani ya siku 2-5 afu unasugua bench but nishazoea mkuu maana silaumu kwa kweli nafasi niliyo nayo kijamii.
 
Kaweke hela UTT achana na mambo ya PhD, Kwa level ya masters degree consultancy unapata tena nyingi tu provided that you have connections
 
Kama hujuia cha kufanya na ulikuwa tayari una masters na unakuja kuuliza humu, then I doubt your Master degree
Asante kwa Mawazo yako mkuu, hakuna sehemu nimeandika "sijajua cha kufanya" pia ni haki yako ku-"doubt" master degree yangu.
Lakini navyoamini mimi, mtu mwenye utashi kabla hajachukua hatua hata kama amefanya maamuzi, ni bora kukusanya mawazo mbali mbali ya kutosha, husaidia kupunguka kiwango cha hatari/mashaka katika maamuzi yako punde ukianza kutekeleza.
 
Asante sana mkuu.

Side hustles zangu mostly ni utalaam yaani (expertise) kwa hiyo hamna mtu mwingine anaweza fanya zaidi yangu; so shule nayo haiwezi zuia kuifanya nadhani ndio nitakua sehemu sahihi zaidi ya kuifanya maana mostly ni zoom meeting sana

Toka nimalize undergraduate nilianza kufanya kwa kujitolea ila kadri muda unavyozidi ilinijengea uwezo na mtaaji wa uaminifu, miaka 7 baada ya kufanya na kwa malipo kidogo Mungu ndo alianza kufungua njia, nikaanza kupata kipato cha kueleweka. Nashukru Mungu toka.nimalize chuo, zaidi ya miaka 10+ sijawahi tembeza bahasa kutafuta kazi, nilianza tu na kile nilichomaliza nacho kuanza ku-implement ila niliteseka sana hadi kufika hapa nilipo.

Baadaye nilirudi kuongeza masters ambapo shughuli zile zikaanza kulipa zaidi hadi mara 20 zaidi ya mwanzo ukipata gap.
Japo gap moja unaweza pata 10M afu ukakaa hata miezi 5 bila kazi au 5M kwa dani ya siku 2-5 afu unasugua bench but nishazoea mkuu maana silaumu kwa kweli nafasi niliyo nayo kijamii.
Kwa maelezo haya basi mkuu kaongeze tu PhD tu hiyo nakupa baraka zote
 
Kuna shughuli nazifanya mkuu, ambazo naokutana nao wakati wa ku defend proposal zangu.
Pia nikiwasilisha proposals za miradi naona wanachukulia pia mwenye PhD ana uzoefu sana.
Unakutana na Bush Scientist!?
 
Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye taasisi na makampuni tofauti tofauti Tanzania.

Hizi side hustles nilizianza baada ya kupiga masters kutoka kutoka moja ya vyuo vikongwe hapa nchini mwaka zaidi ya saba iliyopita

Sasa taasisi niliyokua naifanyia kazi imefunga shughuli zake Tanzania, so kwa sasa nitakua nimepata muda free as nitaendelea na side hustles zangu japo sitakua na permanet job. Kwa sasa nimepiga side hustle flani nikapata kiasi flani ya pesa karibia $13,000. Sasa nikawaza, ili kubaki kwenye peak ya pyramid niongeze elimu ya juu kutoka Uzamili (Masters) hadi Uzamivu (PhD), hii ni kuongeza tu umahiri kwenye shughuli zangu maana baadhi za taasisi nazozifanyia kazi km sxpert ni za UN.

Program yenyewe ya PhD ni ya 3-4 years, naamini nikiwa nikijiunga nayo nitakutana na fursa zingine tena, huenda zikanisukuma kwenda mbele.

Kwa wale mliopiga masomo ya uzamivu kwa kujilipia, kiasi cha hele nilichonacho naweza kamilisha ndoto yangu au niendelee na mishe zingine tu?

Note: Masters pia nilisoma kwa kuunga unga (nilijilipia nikiwa na sina kazi maalum pia) tu but baada ya kumaliza nilipata deals zilizobadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa. Pia field yangu ni ya Sayansi, sio masomo ya sanaa na utafiti wangu wakati wa masters nilifanya molecular biology.
Asanteni.
Nenda PhD ufocus na nje ya Tanzania
 
mshauri mkubwa kwako ni wewe mwenyewe
 
Kwa wanaotaka Taarifa na Huduma za Scholarships mbalimbali katika nchi ya Marekani, Canada, UK, Germany, China, India, Japan, South Korea karibu katika WhatsApp group la Education Scholarship... Karibuni sana kupata fursa hizi...

Back
Top Bottom