Recent content by kishamawe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mnaosema mnajisikia ovyo, mbona mkijisikia vizuri hamsemi?

    Mara nyingi binadamu tumekuwa na kawaida ya kusema, leo najisikia ovyo ovyo yaani sijui hata nifanye nini?. mbona huwa hatusemi Leo najisikia vizuri naweza kufanya lolote ama chochote
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Hongera Sana kwao kwa teuzi japo kumbe waliteuliwatangu 3 march 2023
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Nipeni Ubora wa REDM
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kesho najiondoa rasmi CHADEMA. Nimechoshwa na siasa njaa na kuendekeza matumbo

    Vipi kamanda asiyechoka mara hii umechoka??
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa

    Nimejaribu Kula wali na tembele lilioshwa na majibbila kupikwa vimenishinda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Aiseee maisha haya; Nimelima ekari 2, nimevuna gunia 6 tu

    Sorry ana hitaji USHURU WA MAZAO siyo udhuru kama nilivyoandika hapo juu samahani ni hasira Tu,, ila nikichomfanyia mtanisamehe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Aiseee maisha haya; Nimelima ekari 2, nimevuna gunia 6 tu

    Nilikuwa nimelima mahindi ekari 2, Jana nimeenda kuvuna haya mahindi nimempata gunia 6. Nimeagiza Bajaji/ Toyo la mizigo kuja kubeba haya magunia 6 ya mahindi ambayo bado sijayapukuchua toka kwenye magunzi. Cha ajabu kwangu ni ajabu bajaji/ Toyo limefika kijijini kuna zuio la mtendaji wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utamkumbuka Edward Lowassa kwa mambo gani?

    Sikumbuki vizuri japo nadhani tuliwahi kupata ukome kiasi akatuahidi kuleta mvua toka nchi Fulani... mwenye kumbukumbu anaweza kuweka sawa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Sabaya pamoja na kushinda Rufaa bado yuko kifungoni mwaka 1 kesi ya Kilimanjaro

    unamkumbuka bwana Adeni Ismail Rage?? aliwahi kufungwa kabisa alipotoka akaukwaa ubunge tabora mjini
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

    mbona kama una ukoo na nkuru nziza??
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu kupandishwa madaraja mwisho wa mwezi huu

    kumbe walimu nchi hii ndiyo watumishi, wengine ni wafanyakazi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Bashe kakosea wapi,,ni mbolea au mahindi ya msaada ama kwenye madawa ya kilimo nijuzeni
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Shule ya Qiblatain Kawe ashikiliwa kwa kumuua Mwalimu wake

    tulihabarishe na mgao uliopata toka ujombani kwa marehem mzee Mkono maana awali ulishupaza shingo kutuhabalisha ambavyo ulitaka kupoteza toka kwa mke ( Mama Leah) na mtoto (Leah) wa marehem Mzee Mkono
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mabasi ya kwenda Mbogwe - Geita

    Utafika kahama saa 7 usiku asubuhi saa 12 panda basi linaitwa KAYENGEYENGE litakufikisha Masumbwe saa 1 hadi huko mbogwe
Back
Top Bottom