Recent content by Kishaju

  1. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    All the best
  2. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Pfizer Vaccine Shows Amazing Results in Israel https://greekreporter.com/2021/02/15/pfizer-vaccine-shows-amazing...
  3. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Thank you...vaccine works
  4. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Kuna kazi kubwa sana kwenye swala la kutumia vipimo kama ushahidi na hapo inabidi mahabara ya mkemia mkuu wa serikali iwe tayari kuonyesha mlolongo wanaotumia kujihakukishia ni dawa ya aina gani anatumia na je hakuwa anatumia dawa zingine au miti shamba inayoweza kuwa na chembechembe zinazoweza...
  5. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Greenhouse

    Bila shaka watajitokeza wahusika Inabidi uwe makini na matapeli wakati wa kutafuta mtu wa kukujengea green house 1. Hakikisha unaenda kuona sehemu ambapo huyo mtu amejenga green house na inabidi umuone mmiliki wa hiyo greenhouse ili uweze kujiridhisha. 2. Hakikisha unaijua ofisi ya huyo...
  6. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Makonda ni kombora ambalo halijaelekezwa pa kutua, linaweza kutua sehemu yoyote!

    Janani ki ukweli kasema 70,000 na akasema kila mtu akichangia 1000 inakuwa 70,000,000 na wakitoa 10,000 ni 700,000,000....alikuwa anatoa mfano tu..
  7. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo itabainika Manji ni mtumia Dawa za Kulevya?

    FALSE NEGATIVE RESULTS OF COCAINE TESTS There are times when false negative results are received. There are many reasons why this would happen. Too much intake of water and the utilization of detox kits are some of the reasons. FALSE POSITIVE RESULTS OF COCAINE TESTS It has been reported that...
  8. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda anajua maana ya Presumption of Innocence na Habeas Corpus?

    Tanzania No person charged with a criminal offence shall be treated as guilty of the offence until proved guilty of that offence (art. 13(6)(b) Constitution) African Charter on Human and People’s Right Article 7(b) provides that “The right to be presumed innocent until proved guilty by a...
  9. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Kama Idd Azzan alihojiwa na kuachiwa basi hii vita inazua maswali mengi

    Alishafanya haya 1. Kuorozesha wakazi wote kwenye mitaa. 2. Kukamata watu watakaokutwa guest. 3. Vijana.wasio na kazi wakamatwe 4. Shisha kupigwa marufuku 5. MASHOGA hawaruhusiwi Dar 6. Kampeini ya dar mpya na kamatakamata ya wenyeviti wa serikali za mtaa na kuwasaka malaya kwenye madangulo...
  10. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Ndugu zangu kusema ukweli jengo ka kipindi hiki ambalo inabidi waishi wanafunzi kwa milioni 500 ninawasiwasi sana. Maana tuchukuliwe mtu anayejenga nyumba ndogo ya ghorofa moja yenye vyumba kama vinne anaweza kweli kuimaliza kwa milioni 100? Ujenzi wa majengo makubwa umebadili sana hasa...
  11. Kishaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru was drunk

    What is wrong sioni kama kuna tatizo lolote...just focus on subject matter....
  12. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

  13. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

  14. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

    Siyo kweli ndugu yangu amechaguliwa mara ya kwanza 2013. Na katiba ilibadilishwa wakati wa kibaki na haisemi muhura mmoja hivyo anazo sifa za kugombea tena 2017.
  15. Kishaju

    JamiiForums Tanzania Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

    Nd Nadhani hamjaelewa kwa nini uhuru alisema hivyo...wakati wa hotuba za walio wengi hasa laila na wenzao walikuwa wanamshabulia sana uhuru sasa lowasa alipopewa nafasi ya kuongea akamwambia uhuru naona mheshimiwa umekalia kitu ch moto. Hii lowasa aliisema kutokan na jinsi kina laila...
Back
Top Bottom