Inabidi uwe makini na matapeli wakati wa kutafuta mtu wa kukujengea green house
1. Hakikisha unaenda kuona sehemu ambapo huyo mtu amejenga green house na inabidi umuone mmiliki wa hiyo greenhouse ili uweze kujiridhisha.
2. Hakikisha unaijua ofisi ya huyo mtaalamu na usifanye malipo kienyeji na hauna haja ya kutoa nalipo yote kabla ya kazi haijafikia 95%. At least 30% ilipwe ukishaweza kujiridhisha.
3. Maeneo ya mikocheni industrial area kama unaenda cocacola unaweza pata kampuni genuine ila gharama yake inaweza kuwa kubwa ila una uhakika wa kuepukana matapeli kwa asilimia 100. ( kuna watu BALTON TANZANIA).
4. Ni vizuri upate ushauri wa kitaalamu kabla ya kuanza mchakato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.