Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,446
- 989
Habari,
Kwa maelezo aliyotoa mchungaji gwajimaa alisema alichukuliwa sampuli ya mkojo na damu vikapimwa majibu yakatoka mazuri na akaachiwa ingawa kuna mambo mengine yanaendelea ya kiupelelezi.
Sasa ikiwa vipimo vya mkojo na damu vikionyesha manji anatumia hayo madawa ya kulevya nini kitafuatia?
Kwa watu wa sheria watusaidie hapa!