Recent content by kisemvule8080

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    naitaji tutete kidogo bro mshana ila najikuta nimesahau kuku private. help me nw
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    si lazima ujibu hadi yasio jibika mzee.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

    daah uz mzuri sana ila wa tanzania tunakosa majibu sahihi ya kujibu mahara sahihi, inakuwa ni kutishana kuongopeana na si kutoa fact.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi hii inawahusu

    aaah me natokea kijiji cha mboga pale kwa familia ya francis willium semindu kisemvule ndevundevu. nipo dar kwa masomo tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    sawa mkuu ngoja nilifuatilie ilo swala maana wanamchanja mwanangu ucku.au kuna msaada toka kwako
  6. K

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    nani,kwanini,kunamadhara gani unapojikuta umechanjwa ucku.naomba majibu wakuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi hii inawahusu

    eebwana ee mm nakubali mia kwa mia ni kweli kabisa. me nadhani kwetu maeneo ya chalinze msoga mboga msata hayo yamezidi. yote ni kutojipanga kimaisha unajikuta kila mda unategemea kwa ndugu na ikitokea amekosa msaad kwako basi waganga watahusika
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    yaah pia nimeambiwa nimpe vyakula vya protein kwa wingi,minerals na vitamin.asante mkuu mshana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    mwenye uelewa wa manunuzi ya vyocha katia mitandao anijuze.yani kununua vocga ili niziuze kw bei ya jumla
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    shukran.naitaji kujua au kufahamishwa katika haya mataatizo.1mtoto wangu amekuwa akikuwa akiwa na uzito mkubwa, kipindi akiwa na mwaka mmoja alikuwa na kilo 15, sasa hivi anakilo kumi na 7 na ana umri wa mwaka 1 na miezi 5. vyakula anvyokula ni ugali kwa maharage,mboga za majani.viazi na uji wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    nashukuru.ila huyu mtoto wangu ni mkorofi anaponyimwa ziwa na mama yake hulia sana na kwa sasa humpiga hata mama ake wakati anapodai kula au kunyonya asante ndugu ndugu mshana jr' ,mara nyingi hula ugali maharage na mboga za majani.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    wakuu wa humu ndani naomba msaada.naina mtoto wa mwaka na miezi mitano,ila ana kilo nyingi sana kilo 17.je ni sahihi na kama si sahihi nimfanyeje apungue.ankula vyakula vya kawaida tu na kunyonya kwa sana.kliniki mama yake anampeleka ila wanamwambia atapungua akikua. kwa mwenye taaluma anisaidie
Back
Top Bottom