Recent content by Kisekibaha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hamujambo wadau?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

    Pepo mchafu wee
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Ulikuwepo akipewa??
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Asante Kweli kabisa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Asante mkuu, nitakuchek mapema sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Dah hili la kumvunja mguu nimelipokea😂 Mama ana 74 mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Pale alipohitaji kitu chochote tunekuwa tukimpa kwa wakati, achilia mbali kipato anachopata ktkt nyumba, na sehemu nyingine
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Hakununua mama sababu hakuwa na kazi yoyote, baba ndio alikuwa mfanyakazi meneja wa breweries.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Inawezekana nimekosea kwa kutokuwa mwandishi mzuri, au kwa kupanick, je ningeandikaje?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Mama hataki kukaa kifamilia sababu hapatani na ndugu wa baba, anataka tukae na mdogo wake
  11. K

    JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kukwepa kula chakula ugenini pale unapokaribishwa?

    Niko kwenye mfungo,.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Mkuu asante sana, najaribu kukuinbox bila mafanikio. Naomba ukiona hii reply yangu please naomba uniinbox. 🙏🙏🙏
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Kila kitu ni kwa utaratibu sio kihuni. Inaweza ikauzwa ama isiuzwe hata mama akiea hayupo
Back
Top Bottom