Recent content by kisaTripLe07

  1. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Kweli mkuu wa kaya wetu ni mzigo mh!!!
  2. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Huyu "mzee bure" aliyetajwa na rais Magufuli ni nani?

    Pombe kazini.
  3. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Tuache maneno tuweke ushahindi, njaa hii hapa shibe hii hapa

    Mtu anaepinga akuna njaa apimwe akili.
  4. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania jina lake ni faru ELIZABETH na sio faru HADIJA

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] faru john kwel Tanzania tunamatatiz san.
  5. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mtakatifu.
  6. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Kama serikali imefilisika si bora kuwaweka wananchi wazi?

    Ukiskia watu wana lala njaa wakat chakul kipo ndio hap sas, Maan kila sku tunaskia tumeokoa sijui billion 3.4 lakin hatujui znaenda wapi.
  7. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Tupo pamoja mkuu shida yako ni yetu sote.##Mnyonge mngongeni haki yake mpeni.
  8. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Naomba kukaribishwa

    Karibu sna mkuu
  9. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Mzazi wa Ben Saanane kukagua maiti iliyowekwa kwenye kiroba KCMC Moshi

    Tanzagiza yetu inazidi kwenda gizani kila kunapokucha dah!! Navumilia kuishi Tanzagiza.
  10. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    Trump karibu Tanzagiza japo utusaidie mwanga maana tupo gizani.
  11. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    Bora Afrika itawaliwe tena kwa hali hii ya kupeana mill 10 wakisema ni pesa za chama.
  12. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli bei ya umeme itapanda, basi sitokuwa na imani naye teeena

    Hiyo ndio mbele kwa mbele chukua chako mapema
  13. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli is very strategic

    Ongeza ni rais pekee ambae hutoa mill 10 kama hongo huku akisema anapinga rushwa vikali
  14. kisaTripLe07

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Muhtasari wa kikao kilichoketi kupitisha maamuzi ya kuwalipa waheshimiwa milioni kumi kumi

    JPM ndio mtoa rushwa vp apambane na rushwa kama sio unafiki huo
Back
Top Bottom