Recent content by kisanganyakiswata

 1. kisanganyakiswata

  Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni Dhana Tuu?."

  Inshu za udini huwa zinavuma pale tu rais akiwa muislam
 2. kisanganyakiswata

  Vituo gani vya Afya vilivyopewa pesa ya Tozo?

  Pesa ndio kwanza imepelekwa tamisemi leo hii unataka kujua vituo vilivyo pelekewa pesa dah subiri baada ya wiki moja utapata kujua wacha kazi ziendelee tozo iendelee inakwenda kutatua matatizo ya jamii
 3. kisanganyakiswata

  MwanaSport acheni kujificha kwenye mgongo wa mashabiki wa Simba Sc

  Simba wako sahihi kwakweli ni next level
 4. kisanganyakiswata

  Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?

  Hawa ni machizi sana mama asiwaregeze awapige sanaa hadi wanyoke wasitake kumzoea
 5. kisanganyakiswata

  Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

  Yani watu niwajinga sana sehemu au taasisi ikiwa na waislamu wengi ndio huonekana kuna Udini lakini zile sehemu zenye wakristo wengi hua mnakaa kimya mkiona mnastahili kama magu kwenye kwenye teuzi zake wakristo alijaza kibao lakini husiki udini ukiimbwa upuuuzi mtupu acheni ubinafsi tz niyetu sote
 6. kisanganyakiswata

  "Ibrahim Class" the most decorated boxer in Tanzania,bingwa mpya wa WBF

  Mkuu acha chuki za kichawi ibra ni bondia wa kiwango cha juu
 7. kisanganyakiswata

  Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

  Acha kuwadanganya hawakupigania katiba wakiwa wengi na vichwa wataweza leo ushauri wangu chadema wakubali kupoteza tu
Top Bottom