Recent content by Kirukechaingondwa no

  1. K

    JamiiForums Tanzania CV ya Balozi Wilson Masilingi

    Hahahaaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wanandoa

    Duuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Kwanini wake za watu ni warahisi sana siku hizi??

    Wanaume waliooa hawahongi wake zao wanaenda kuhonga michepuko
  4. K

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya siku 100 bila ngono wala punyeto

    Safi sanaa Mimi nilinunua kiwanja mahali nikajiwekea mkakati wakati naanza ujenzi sitaki demu nashukuru nilikaa miezi Sita nyumba ikawa nimepaua tayari Nilichojifunza kama huna mke wala demu wako permanent hao wakutoana out kila weekend wanakula mifuko ya cement ya 20 au 30 kwa mwezi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni namna ya kumpata mke wangu

    Pole sana mkuu,,ila sijui kama mke wako naye kama yupo JF maana kama yupo humu akaona ulivyoandika atafurahi sana, Na atakutesa mno
  6. K

    JamiiForums Tanzania Huu Utamaduni wa kumpigia mwanamke magoti na kulia tumeutoa wapi?

    Aibu inayomdhalilisha mwanaume
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Benki kuweka wazi taarifa za fedha za mtu kwenye sakata la Mwanza limekaaje?

    Hata nchi kama marekani hawakuruhusu utembee na cash nyingi kiasi hicho Angefanya unununuzi WA katumia cheque Bank kuripoti kwa vyombo vya usalama si sahihi hawajamtendea mteja wao haki
  8. K

    JamiiForums Tanzania Huu Utamaduni wa kumpigia mwanamke magoti na kulia tumeutoa wapi?

    Unampigia Mola muumbaji WA vitu vyote goti na si vinginevyo Mimi nilishagoma Hata adhabu ya kupiga magoti shule Leo uniambie nimpigie binadamu mwenzangu goti kisa papuchi bora nimkose tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnavumilia vip kuto ku do mke akijifungua?

    Tatizo umemuweka kwenu miezi 2 tu yatosha anakuwa ameshapona unaenjoy Usijaribu kuchepuka kipindi mchumba ananyonyesha utapoteza hamu ya kuduu naye sbu huko unakopata msaada ni fresh
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala na mwanamke yeyote huwa wananing'ang'ania

    Hahahaha Mimi mwaka huu nakuja kujitambulisha kwenu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

    Kwani ni ng'ombe hiyo kwamba ulitunza uiuze
Back
Top Bottom