Habari zenu ndugu zangu ,
Ukweli sipo vizuri toka tarehe 18 mke wangu alipoondoka asubuhi ,
Awali nilimnyang'anya simu usiku wa kamkia jana nimekuja kuikagua simu yake nikabaini alikuwa na mahusiano na mwanaume mwingine ,
Kwa kweli ni stori ndefu sana ndugu zangu naombeni mnisaidie namna ya kumpata popote alipo pia namba za mwanaume aliyenae ninazb ila amezima simu pia jana nilimpigia nikamuuliza akakataa hamjui mke wangu ila ushahidi wa sms alizokuwa akimtumia mke wangu ninazo,
NAWASIHI SANA IWE KI UTAALAMU (UGANGA) AMA KWA NAMNA YOYOTE MNISAIDIE NATESEKA KAZI SIWEZI KUFANYA KWA AJILI YAKE,
PICHA YA MKE WANGU HII HAPO CHINI KWA YEYOTE ATAKAE MUONA ANIAMBIE.
Pia ameniaxhia mtoto wa mika 2 bila nuruma
View attachment 999660View attachment 999661View attachment 999663
Sent using
Jamii Forums mobile app