samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,183
Mbona yakwangu ni ya mfano mzuri, na wengi wanaotufahamu tume wa inspire waingie ndoani hasa ukizingatia tulioana tukiwa vijana wadogo umri wa 24.
Sasa tunawatoto wa wili na bado kama kumbikumbi na michezo yetu yakitoto....
So hizo ndoa za kizinifu na nyingine zilizofeli zisiwe mfano kwako.
Muombe sana Mungu, pia mshukuru sana Mungu sio kujisifia..