Recent content by kiroroma2630

  1. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Mungu sio mchawi, anatumia akili nyingi pia kukutoa matatizoni

    Au ndio ushomire?
  2. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Mungu sio mchawi, anatumia akili nyingi pia kukutoa matatizoni

    Cjaelewa hapo kwann umechanganya lugha?
  3. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa, Homa ya CCM

    Atatuongoza tuu taka msitake nyambafu wewe.masheikh wa jk wenyewe jana wamemchangia laki saba(700000)bagamoyo wakamwambia chukuwa form kuna kazi tena hapo sasa mnataka nani awe rais wa tz kupitia ccm?japo tunajua kabisa ukawa bado japo wanajipa matumaini
  4. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Mtoto Laraiyah anahitaji MAOMBI yako, tafadhali mkumbuke katika Maombi yako ya leo

    Damu ya Yesu ya fidia iende imwondolee maumivu na kumponya Amen
  5. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Nabii Frank Kilawa unatutishia maisha!

    PongLenis nachokuakikishia wala sio na kutisha kunyanyapaa watumishi wa mungu likikuacha wewe cjui hata familia yako ipo siku maandiko yatasimama juu yako hata watoto au wajukuu mwenzako kasema frank wewe tayari ushadakia ni yule wa kimara au
  6. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Hela ngap umeambiwa zinapatikana humu?ushapewa option sasa cuende dukani
  7. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Mwisho wa yote kitu westpoint
  8. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Nauliza fundi mzuri wa iphone6

    Hahahahahha!!!! Mataa ya ubungo hawauzi cm wanauza sabuni na viberiti
  9. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kiroho yana mchango gani kwenye kusaidia jamii?

    Kwa hy mnazitolea sadaka macho? Mbona kodi zenu hamuulizi zinaenda wp nyambafu sana
  10. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta kituo cha Puma Sinza Kijiweni

    Kwanza hy tabia yao kuniambia sogeza gari nashindwa kuielewa ili iwejee kuna kijana nilimtegesha hapo hapo nilimwambia jaza wakati huo nimetokea bigbon
  11. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Living forever nini

    Upuuzi mtupu
  12. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya wakwapuaji wa Benki

    Yaani binadamu siku hizi watu haitakiwi kabisa kumwamini usiyemjua pole dada
  13. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Eh Mungu muondole mtoto huyu maumivu!!

    Mungu mwenye kusamehe na kurehemu maelfu elfu samehe na kurehemu wazazi na kuwafutia mashtaka wazazi pamoja na mtoto
  14. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Baada ya Panya Road sasa kikundi kingine kimeibuka

    Akili zake mgando kabisa na ubungo wake utakuwa wa kondoo na sio mbuzi
  15. kiroroma2630

    JamiiForums Tanzania Soda za kampuni ya Coca Cola si salama tena, angalia picha

    Acha upuuzi wewe kenge maji sasa kama kuna shd asiseme?anaribu vp biashara kama ni wewe ungekunywa?
Back
Top Bottom