Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Hao ni manabii wa uongo njaa zinawasumbua
Wa ukweli wako wapi. !?
Hao ni manabii wa uongo njaa zinawasumbua
Style ya kupiga na vitisho, mpaka Yesu arudi mtakua mmenyooka wajinga saana
Yule jamaa ni msanii anatembea anahubiri na mabodigadi nyuma kama rais mbona yesu hakuwa na mabodgadi kama Yesu yupo ndani yake anaogopa nini?
Yule jamaa ni msanii anatembea anahubiri na mabodigadi nyuma kama rais mbona yesu hakuwa na mabodgadi kama Yesu yupo ndani yake anaogopa nini?
Yesu hakuwa na bodigadi matokeo yake si umeyaona? Ametundikwa kwenye mti kama tumbili hakukua na wa kumtetea!..mwacheni jamaa ajilinde na mabodigadi asije kurudia kosa la bwana yesu
Huyu anadanganya watu anataka umaarufu wa kitoto anasema huduma za kichungaji zitakufa zibaki za kinabii.Hivi Mungu anaweka karama na kuziua mwenyewe!!?Huyu akili zake zinamtosha mwenyewe na walinzi wake wasiojua hata kupiga mguu sawa.
Kwa nini hakutaja sinema ya wale magaidi pale Tanga.Hawa manabii nawashangaa hata mapepo ya utambuzi yana utambuzi wa hali ya juu sasa unashangaa nini.We ni mkristo gani ambaye roho mtakatifu hakuonyeshi mtu aliyekuloga.Na kwa nini ulogwe wakati damu ya yesu inakulinda.Huyu nabii Frank anakuambia mambo yako yote kama umerogwa na mtu aliyekuroga yaani ana mtaja hadi jina,tarehe mwezi na mwaka,sehemu gani na jina la mganga na aliyempeleka mrogaji.
Nashindwa kuelewa yaani anakipaji cha aina yake
Labda wewe ndio haujui maana hata yesu mwenyewe alijaribiwa na shetanai mwenyewe na wala sio vichawi hivi,ije kuwa mimi binadamu!!!!Kwa nini hakutaja sinema ya wale magaidi pale Tanga.Hawa manabii nawashangaa hata mapepo ya utambuzi yana utambuzi wa hali ya juu sasa unashangaa nini.We ni mkristo gani ambaye roho mtakatifu hakuonyeshi mtu aliyekuloga.Na kwa nini ulogwe wakati damu ya yesu inakulinda.
Yule anaitwa Mastahi! nasiki anapiga mpaka vifuti kama pepo linaleta ujuaji
Na wale wanaolipuana misikitini hadi Yesu anarudi watakueje? nadhani watakua wameerevuka!Style ya kupiga na vitisho, mpaka Yesu arudi mtakua mmenyooka wajinga saana
Huyu anadanganya watu anataka umaarufu wa kitoto anasema huduma za kichungaji zitakufa zibaki za kinabii.Hivi Mungu anaweka karama na kuziua mwenyewe!!?Huyu akili zake zinamtosha mwenyewe na walinzi wake wasiojua hata kupiga mguu sawa.
Huyu nabii Frank anakuambia mambo yako yote kama umerogwa na mtu aliyekuroga yaani ana mtaja hadi jina,tarehe mwezi na mwaka,sehemu gani na jina la mganga na aliyempeleka mrogaji.
Nashindwa kuelewa yaani anakipaji cha aina yake
Style ya kupiga na vitisho, mpaka Yesu arudi mtakua mmenyooka wajinga saana
Yule anaitwa Mastahi! nasiki anapiga mpaka vifuti kama pepo linaleta ujuaji