Recent content by kirma2018

  1. K

    Kutoka Washington, USA: President Magufuli, Stop That Dam

    Wazungu ni wanafiki kweli Madhara waliyosababisha Iraq, Libya,Syria ni madogo kuliko sisi kujenga mradi wa umeme. Hawa watu hawajawahi kutupenda na Hawatatupenda hizi kelele kuna kitu nyuma ya panzia sio kutetea Mazingira Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Ingekuwa nchi nyingine hili tu la Wabunge lilitosha Kuwafumbua macho Wananchi. Ni jambo la Hatari kubwa sana.

    Kuna mzee wa Mwanza aliwahi kuhojiwa na Star Tv alisema motoni Baada ya shetani anafuata mwanasiasa. Mpaka leo sjawah kumpinga Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Nini kitatokea iwapo Msajili akatangaza kuifuta CCM?

    Atakuwa Ameshatekwa na watu wasiojulikana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Kipanya tena, Anawasilisha Maisha Bora Kwa kila Mtanzania

    Hajakosea ndio ukweli kila fisadi kapita UDSM Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Wakatoliki na Shule zenu sasa imetosha hebu kuanzia mwakani na nyie ' Jifelisheni ' ili Shule zingine nazo zing'ae Kitaaluma

    Kazi ya kamati ya kutunuku woooote ni wakatoliki.Allah Amrehem sheikhe ilunga.Enzi za ndalikacho wamiliki wa shule za kiislam waliomba Necta sample ya paper walizosahisha necta wakagoma baadae wakatoa matokeo mengine mtu mwenye four akawa na one kuwauliza imekuaje wakasema mtambo wa computer...
  6. K

    Polepole: Siamini Tanzania tuna tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana

    We vipi mbona wapo walimu waliohotimu huu mwaka wa tatu hawana Ajira wapo Madaktari hawana Ajira wapo Engineer hawana Ajira kama nafas zao zpo kwanin wasiajiriwe tatizo ni nin. Huu ni moto utakuja kuripuka siku moja Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    UDASA: Tunaidai Serikali zaidi ya Bilioni 11, watulipe kabla ya Februari 28, 2019

    Wason wasiojelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza iphone six plus gb 64 iko new 600k au kubadilishana na simu ya android kali. npo mtwara No 0652395624 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Je, Rais ana washauri wa Sheria? Hïi ndio sheria ya bendera ya Taifa!

    Sheria imekinzana na bendera yenyewe.Bendera ina njano na sio dhahabu.tunachukua kauli ya mheshimiwa Raisi.
  10. K

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Jaribu kifikiria kidogo.
  11. K

    Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

    Hiyo ni kawaida kwa watu wa kanda ya ziwa
  12. K

    Nashindwa kujua ni nini hasa chanzo cha makazi ya polisi kuonekana duni karibu mikoa yote?

    Hayo ndio makazi wanayostahili kuishi kwa jinsi walivyo
Back
Top Bottom