mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,704
- 9,077
Wakuu habari baada ya Mswada kupita jana ambao umempa nguvu msajili ya kukifuta chama chochote cha siasa najiuliza itakuwaje kama akitangazwa kufutwa kwa CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app