Recent content by kiringejiwe

  1. kiringejiwe

    Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

    Ndiyo, accrual basis INA miiko yake. Disclosure ni kitu muhimu sana kwenye mfumo huu, haiingia akili kuwa taarifa ya CAG ilisahau hayo yanayosemekana sasa. The basic principal ya accounting ni double entry, ukianza kuingiza kitu chochote kwenye hesabu ambazo tayari zimeandaliwa lazima balancing...
  2. kiringejiwe

    Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

    Hakuna majibu sahihi kutoka kwa Polepole, under accrual basis ukizungumzia Receivables pekee unakosea, kuna deffered, funds transfers na payables pamoja na nadharia nyingine za IPSAS kwahiyo kubalansisha kwa Polepole ni uelewa wake mwenyewe.
  3. kiringejiwe

    Halima Mdee: Rais Magufuli, Serikali yako imechafuka, chutama uweze kujisitiri

    Wahasibu uchwara acheni kutuchang'anya katika uhasibu tunapotumia "accrual base" haturudi nyuma kutoka "Receivables" ambayo ni mapato taraji kama tusivyorudisha "payables" ambayo ni matumizi taraji. Yote hayo tayari ni mapato na matumizi tayari. Jambo ili linaweza kuzungumziwa na wahasibu tu...
  4. kiringejiwe

    Hii ni ajabu, tunakaa kujadili watoto kutelekezwa wana faida kwa Taifa ?”- Mbunge Selasini

    Kila jambo na wakati wake sasa ni wakati wa bajeti na baadaye tulete biashara ya kutelekeza watoto. Mwaka jana kipindi kama hiki ilichangànywa biashara ya madawa ya kulevya, masuala muhimu yakapitishwa haraka haraka. Hii ni kwa faida ya nani?. Huyu mkuu wetu wa mkoa ni intelijensia?
  5. kiringejiwe

    Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Hadhi ya mwanamke kwa mwanaume ni kyuma tu, pesa zako. Heshima, yote kwa yote ni kupata kwenye banda la kuku au Five Star Hotel, wote tumepata kyuma.
  6. kiringejiwe

    Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Huyo anayeitwa beki 3 ni binadamu kama wewe mama mwenye nyumba, anapenda na kupendwa. Matendo ya akina mama baada ya kuwepo huyo so called beki 3 yanakuwa kama amepata msaidie kwa majukumu yake ya msingi(mke). Beki 3 akifanya vizuri ndipo watu wa nje wanajua, akifanya vibaya hatuoni matangazo...
  7. kiringejiwe

    Je, jumuiya za wakatoliki mitaani zinaruhusiwa kufanya siasa?

    Kama viongozi wanatoka kwa wanajumuiya kuna ubaya gani kuwachunguza na kubaini walio bora kuliko kuchagua kwa ushabiki. Ni tamko madhubuti na lenye mtazamo mpana zaidi kuona kama kuna ubaguzi wa kidini.
  8. kiringejiwe

    Je, jumuiya za wakatoliki mitaani zinaruhusiwa kufanya siasa?

    Sijui nyie vijana mnataka kutupeleka wapi, kila jambo kwenu limekuwa rahisi sana?. Sijui una umri wa miaka mingapi na unategemea kuishi mingapi?. Imani za dini kimekuwa ni kitu cha kawàida kwenu. Una mbele wala nyuma unahoji uhuru wa watu kwenye jumuiya ndogondogo ambazo kama ujui ndiyo muhimili...
  9. kiringejiwe

    Ukimya wa viongozi wa chadema ccm ijitafakari

    No way, we can not wait. Let speak loudly, where are we going, where you force us to go. Please stop it!
  10. kiringejiwe

    Ukimya wa Viongozi wakuu kwa haya yanayoendelea nchini ni ishara mabaya.

    Great thinker, where you are. please talk!!
  11. kiringejiwe

    Ukimya wa Viongozi wakuu kwa haya yanayoendelea nchini ni ishara mabaya.

    Katika historia ya nchi yetu tangu tupate Uhuru hatukuwahi kushuhudia kipindi mgawanyiko na mkang'anyiko kama wakati huu tunaopitia. Mimi nilizaliwa wakati wa Uhuru wa Tanganyika, hivyo madhra ya kabla ya Uhuru nimeyasoma kwenye historia tu. Baada ya hapo nchi yetu ilipita kwenye vipindi...
  12. kiringejiwe

    Yuko wapi bilionea Dr. Shika?

    Post za kipuuzi
  13. kiringejiwe

    Fulana(t-shirt) za JamiiForums sasa zinapatikana kwa bei ya TZS 20,000/=

    Member kutafutwa siyo zari tena?, au mnataka tusalimiane na watu wasiojulikana?
Back
Top Bottom