Yuko wapi bilionea Dr. Shika?

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,982
2,915
Dr. Shika ameishia wapi maana toka Lissu apigwe risasi amepotezewa na sijui madada waligundua kuwa mabilion hayapo. Dr. popote ulipo ebu jitokeze uitishe press conference na utangaze kugombea urais 2020.
 
last time alituma hela Ili atumiwe mabilioni yake....Naona katapeliwa
 
hawa watu design ya shika na akina titto hii huwa ni mikakati ya serikali na matajiri wakubwa nchini kwa ajili ya kutake advantage ya matukio yanayotokea ova
 
Back
Top Bottom