Ukimya wa viongozi wa chadema ccm ijitafakari

mafuvu

JF-Expert Member
Jun 17, 2017
288
300
Hbr zenu wapendwa,mamb yanayoendelea ktk nchi ni mazuri kwa upande wa chama tawala,ila kwa chama pinzani ni tofauti kabisa,nashukuru kwa viongozi wa chadema kukaa kimya na kujitafakari namna nchi inavyokwenda,ninaimani na mwenyekiti wangu mbowe,i hope ccm wametupa changamoto ya namna gn tunaweza kujipanga hiyo 2020,siasa inambinu nyingi sana lkn hii inayotumiwa na wenzetu itakuja wagharimu sana hapo baadae,ukiona kobe amekaa kimya ujue anatunga sheria ,huu ni wkt wa wanasiasa wa upinzani kuenjoy national cake pamoja na watawala,ni wkt wa kumuunga mkono raisi ili kuenjoy life na kuepuka vikwazo vinavyowekwa juu yao.let us wait ,the game continues
 
No way, we can not wait. Let speak loudly, where are we going, where you force us to go. Please stop it!
 
Back
Top Bottom