Recent content by kirikuu19999

  1. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Ukiacha TTCL, kampuni ipi nyingine ina huduma nafuu?

    vifurushi vya bei ya kitonga vipoooooooo kwa vodacom airtel na Halotel Tigo bado kuna namna inasubiliwa vodacom hvo [emoji115][emoji115][emoji3595] ubaya kuna mtu alichoma twitter vodacom wamezuia kwahyo wenye navo tayar tunavo ila kesho j3 wamesema wata angalia possibility kama upenyo...
  2. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadili cheti cha chuo cha nje ya nchi kuwa sawa na marks za Tanzania (equivalent)

    asante [emoji122] je kuna kitu cha ziada wata hitaj tofaut na chet cha chuo..?
  3. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kubadili cheti cha chuo cha nje ya nchi kuwa sawa na marks za Tanzania (equivalent)

    Naomben process/njia za kufata kwa mtu alie soma chuo nje ya nchi akitaka kubadili chet chake cha chuo kwenda equivalent sawa na Tanzania.
  4. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Mitandao wa Voda na Airtel wamefuta huduma ya kuongea na mtoa huduma kupitia namba 100?

    Nilcho jifunza huduma kwa wateja ya vodacom wabaguzi mim na lain mbili zote za vodacom moja natumia kwenye calls data na sms(Heavy user) na nyingne natumia kwenye whatsapp namba ya vodacom nayo tumia kwenye whatsapp mara nying hua ipo kwenye sim ndogo situmii sana hiyo namba hata nipige 100 hua...
  5. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Hivi Vodacom mmekuwaje?

    Nilcho jifunza huduma kwa wateja ya vodacom wabaguzi mim na lain mbili zote za vodacom moja natumia kwenye calls data na sms(Heavy user) na nyingne natumia kwenye whatsapp namba ya vodacom nayo tumia kwenye whatsapp mara nying hua ipo kwenye sim ndogo situmii sana hiyo namba hata nipige 100 hua...
  6. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Speed ya internet Vodacom super kasi

    wamebadili vifurush mda 120k sasa hv unapata 30mbps usikariri mambo yamebadilika
  7. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Naweza pokea pesa kutoka nje ya nchi kwa kutumia lain yangu ya Tigo?

    Kasema anataka kutoa dollar 3 sio dollar 200 hiyo option haikubal chin ya dollar 10
  8. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kufungua PAYPAL account na kulink na simcard

    Haiwezekan labda ufungue paypal kenya utaweza ku link na mpesa ya kenya na hizo lain za kenya zinafanya kaz had bongo na unatoa hela vzr tu au unaweza ukajtumia kwa mpesa yako ya tz na ukatoa
  9. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Kampuni mbili zinasoma kwenye line (chip) moja

    Vodacom usipo tumia lain mda mrefu wanakua wanakupa 500MB had 1GB haizid hapo yan usitumie lain mda mrefu kisa hzo MB ah hailet maana na ukianza kutumia hiyo offer inapotea
  10. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Kampuni mbili zinasoma kwenye line (chip) moja

    Ushishangae ni kawaida hiyo kitu inaitwa Roaming nianze kwa kueleza Roaming kwa urahisi Roaming ni kile kitendo cha kutoka kwenye eneo lenye covarge ya network yako(Mfano unatoka eneo lenye network ya vodacom ) na kwenda eneo ambalo halina coverage ya network yako lakin huko ambako hakuna...
  11. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Mh kwangu cha 10k kilikuwa kinakaa hadi mwezi mzima ila nilikuwa napunguziwa speed nitajaribu pengine wamebadilisha sijakitumia mda hapa napo kaa kuna Fiber speed 10MB/s sawa ya 80Mbps ngoja siku nta test ntakupa majb
  12. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Muhas selection First round

    Inabid ukubal ukwel unao uma hupati muhas kwa div 1 yako ya 9 especially MD Radiology na Pharmacy wale cut point hawafat kama ilvo wekwa na TCU ukiwa na div 1 ya 6 kushuka chin at least ila kwa ufaulu wako kama unajipenda apply private unapata chap kwa hiyo div 1 ya 9 hata udom MD hupati...
  13. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Tigo hawana unlimited ukitaka unlimited labda waje wakufungie ki dish flan hivi ila ni gharama sana na mara nyingi huwa naona vipo kwenye taasisi mfano hospitali wanalipa 900,000/= na unlimited kwel nikaona na zantel wanalipa 600,000/= ni unlimited kwel Unlimited ipo vodacom kuna kitu wanaitwa...
  14. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Cha kwanza uwe twn cha pili nenda office za TTCL vijjn hakuna hata mij ya pemben pemben na twn hakuna ipo majij makubwa tu
  15. kirikuu19999

    JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Kwa hali hiyo bora tuendelee na pre paid tu au tusubiri TTCL fiber 55K unlimited mwezi mzima kwa speed ya 2MB/s had 2.5MB/s ambayo ni sawa na kusema 20Mbps at least inaeleweka
Back
Top Bottom