Akili za kipuuzi... Kwa hyo na wauza vilainishi wa Ndani waandamane kupinga waagizaji wa nje... Kweli nimeamini FaFa zote.... Kama hao bongo movie mnataka kuwasaidia wapeni Elim ya kukabili changamoto za kibiashara na sio kulialia... Acha nirudie kuangalia series yangu ya Nikita...
Nakumbuka kabla ya October mosi mwaka Jana askari polisi na Jeshi walifanya kazi hadharani.. Hata mazoezi yake mengine yaliyosiri Kwa raia... Yalikuwa na maana gani??? Kumbe UKUTA wa CDM ulikuwa na nguvu kuliko ujambazi.... Ina maana polisi Ina uwezo wa kupambana na raia wasiokuwa na silaha...
Ina maana hata Shigongo aliongopa!!?? Yaani aliyefanya kazi kubwa hakulipwa wasanii tuu nyie ndo mlipwe... Hivi kada kama Shigongo hakulipwa et BATULI kalipwa... Hahahahah.. Acheni usaniii
Sisi sote ni wa Mungu na kwake tutarejea... Cheo ni dhamana tuu... Hitler aliongoza watu Kwa nguvu na Jeuri kubwa Sana... Aliuwa binadamu wenzake Kwa mateso makubwa Sana....
Leo yuko wapi.... Nauliza Leo yuko wapi... General Abacha yuko wapi.... Na wengine wengi.. .. Tunapita tuu... Kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.