Chadema niliikubali sana lakini kwasasa naona wamejipiga bao wenyewe,wanajali maslah binafsi kuliko ushauri wawanachama mtu kushauri mabadiliko ya uongozi wajuu nidgambi?kwakweli hiki chama kijitafakari maana kinafanya maamuzi magumu mno,yanayoweza kukigharim chama
Umechambua vizuri sana lakini wanasiasa wetu watanzania,wanafanana tabia tofauti nivyama,lakini wakishapata madaraka wanabadilika nakuwa nakuwa madalali wapenda maslahi binafsi kuliko yaliyowapeleka bungeni wengine wanayaama majimboyao nakwenda kuishi mbali.kiufupi ata raisi awenani hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.