Recent content by kiria babu

  1. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Muro: Mhe. Msigwa heri ungekaa kimya CCM ndiyo imelipa gharama ya ndege kutoka Dodoma kwenda Kenya

    Wewe Jerry ni mnafiki tupe ushaidi
  2. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kijana wa pikipiki yangu kafungua kesi akidai ni mali yake

    Ngoja nimfuate mwanasheria nimweleze ilivyo
  3. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kijana wa pikipiki yangu kafungua kesi akidai ni mali yake

    Mimi niko tanga ndugu zangu
  4. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kijana wa pikipiki yangu kafungua kesi akidai ni mali yake

    Occid nilimweleza na nikataka kubadili mpelelezi lakini alinijibu niende atanipigia cm nikaenda kufanya upelelezi mpaka ni nikajua pikipiki ile imeuzwa wapi matokeo yake mpelelezi alimtaka mtoa taarifa nikampeleka akaojiwa akawaeleza kilakitu lakini hakutaka kupeleka police sehemu hiyo bali...
  5. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kijana wa pikipiki yangu kafungua kesi akidai ni mali yake

    Nilimpa kijana pikipiki yangu awe anafanyia kazi ya bodaboda ile siku namkabidhi pikipiki ile usiku wake nikapata ajali hivyo ndugu yangu alipoteza maisha katika ajali hiyo wakati nikiwa ICU, kijana niliyempa pikipiki ile alipiga simu akaongea na ndugu yangu akidai ameibiwa pikipiki na hapohapo...
  6. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Mwenye material facts za case ya Khatija val vs Samji naomba anisaidie

    Nilimpa kijana pikipiki yangu awe anafanyia kazi ya bodaboda ile siku mamkabidhi pikipiki ile usiku wake nikapata ajali hivyo ndugu yangu alipoteza maisha ktk ajali hiyo wakati nikiwa icu kijana niliyempa pikipiki ile alipiga cm akaongea na ndugu yangu akidai ameibiwa pikipiki na hapohapo yupo...
  7. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kiswahili yaliyo pata kiki awamu ya tano

    Sichezewi wala sijaribiwi
  8. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Harakati za Tundu Antipas Lissu

    Hakuna kama mungu wala hakuna anayeweza kutenda mema au kazi anayofanya mungu kumbuka kwamba kama mungu hakukuandikia kifo cha upanga kamwe kifo hicho hukaa mbali nawe. Kwa ahadi aliyoaidi kwako hutimia hata kwamateso, kuchelewa, kwa raha nk. Ndiyo maana makusudio ya wavavizi wale hayakutimia...
  9. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Harakati za Tundu Antipas Lissu

    Sii mchochezi kwakuwa yeye ni upande wa upinzani na kazi yake mpinzani ni kupinga na kuikosoa serekali na kuishauri
  10. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Harakati za Tundu Antipas Lissu

    Ndugu zangu wana Forum wenzangu, Nimekua nikifuatilia mijadala hapa kumuhusu Mh. Lissu hapa jukwaani, Inisikitisha sana tena sana mijadala ya vijana wetu. wengi wamediriki kuhoji uzalendo wake na kumwita msaliti wa Taifa. Kinachosikitisha wenye hoja za kusema Lissu ni msaliti hawajawahi kuwa...
  11. kiria babu

    JamiiForums Tanzania NASHAURI SERIKALI ITUMIE USTAARABU

    Serikali ya jamuuri ya muungano Tanzania imekuwa ikiendeshwa kwa matamshi sana badili ya kufuata sheria na kanuni zake zilizotungwa kwaajili ya kuendeshea nchi. Tutafute utu na buusara kwa garama yeyote jamani viongozi wetu kumbukeni kumbukeni kwuwa sisi wananchi ndo tumeiweka serikali hii...
  12. kiria babu

    JamiiForums Tanzania Nasikitiko kwa jamii juu ya matukio

    Nashangazwa sana na kile nilichoweza kusikia huku nikiangalia picha za gari aina ya v8 ilivyo chanwa na risasi zinazosadikika kuwa zilimjeruhi mh Tundu antipass lisu inaumiza sasa kwa nchi kama hii inayosifika kwa kisiwa chaamani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom