kiria babu
Member
- Sep 13, 2017
- 12
- 8
Nashangazwa sana na kile nilichoweza kusikia huku nikiangalia picha za gari aina ya v8 ilivyo chanwa na risasi zinazosadikika kuwa zilimjeruhi mh Tundu antipass lisu inaumiza sasa kwa nchi kama hii inayosifika kwa kisiwa chaamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app