NASHAURI SERIKALI ITUMIE USTAARABU

kiria babu

Member
Sep 13, 2017
12
8
Serikali ya jamuuri ya muungano Tanzania imekuwa ikiendeshwa kwa matamshi sana badili ya kufuata sheria na kanuni zake zilizotungwa kwaajili ya kuendeshea nchi. Tutafute utu na buusara kwa garama yeyote jamani viongozi wetu kumbukeni kumbukeni kwuwa sisi wananchi ndo tumeiweka serikali hii madarakani hivyo yapasa mtumie ustaarabu hulehule mliokujanao kutuomba kura zetu ............ baada ya siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom