Recent content by kipwere

  1. K

    Mchawi pesa, nimemla siku hiyo hiyo kwa kiwango cha 115k

    Uzi bila picha Ni sawa na chai kwa mruzi
  2. K

    Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

    Ukisikia uzuzu ndio huo sasa
  3. K

    Godbless Lema: Mtoto wa Simbachawene asikomolewe kwa sababu ya matakwa ya Baba yake

    Mkuu umehesabika tayari au unaandaaa nyuzi tu zinazotia kinyaa hapa jamiiforum
  4. K

    Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    Mkuu una hasira na police tu ndio maana lakini hii issues ukiicheku haijakaa poa kwa mtoto wa kiongozi kufanya vile maana inaonekana baba yake hakumlea kimaadili ya kuheshimu watu wengine maana
  5. K

    Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    Nakuelewa mkuu Kuna mingese umu inamtetea eti mtoto wa boss boss kwaio ndio afanye anavyojiskia
  6. K

    Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    Acha utoto boss mzee wake sio yeye
  7. K

    Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Yeah ndio ivyo ful zile mwenzio naogopa Mara sijazoea Mara mama mkali
  8. K

    Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Kinachokuja kuumiza ni ile trust fake alioitengeneza kwako ili umuamini ni mgumu kugegedeka dah[emoji26] kumbe wenzio wanambuluza mpaka mitaroni we mixture kumgharamia.god save us
  9. K

    Fire and safety course

    Ha bar i wanandugu. Ivi hii kozi ipo hapa nchini kwetu na soko lake la ajira likoje
  10. K

    Tiba ya kidole: Nina maumivu makali sana kidole cha mkono wa kushoto

    Tumia ndulele IPA she moto jikoni then toboa tobo alafu chomeka kidole ikipoa iweke tena jikoni
  11. K

    Rais Samia kazi anayo, nimeshtushwa na mazungumzo ya baadhi ya rafiki zangu

    Sasa mkuu mbona kama unawateta marafiki zako kwanini usiwachane live walipokwambia hayo unayoyasimulia Hakuna mtu asiependa kufanikiwa na hakuna mtu asiepambana sote tunapambana mda tu haujafika sitaki kuamini mtu aliepambana mpaka kapata degree awe yupoyupo lakini nakukumbusha ili ufanikiwe...
  12. K

    Panapofanyika ujenzi wa barabara wamwage maji ili kupunguza vumbi kwa watumiaji

    Helo wanajamvi, saizi nipo kwenye daladala hapa naelekea mjini. Pamoja na pilika za ujenzi wa barabara ya mwendo kasi lakini njia imemwagiwa maji hakuna changamoto ya vumbi kwahiyo ni raha bin burudani kabisa. Lakini hilo la kumwaga maji kupunguza vumbi halifanywi mara kwa mara jambo...
Back
Top Bottom