Panapofanyika ujenzi wa barabara wamwage maji ili kupunguza vumbi kwa watumiaji

kipwere

Member
Feb 18, 2021
30
44
Helo wanajamvi, saizi nipo kwenye daladala hapa naelekea mjini. Pamoja na pilika za ujenzi wa barabara ya mwendo kasi lakini njia imemwagiwa maji hakuna changamoto ya vumbi kwahiyo ni raha bin burudani kabisa.

Lakini hilo la kumwaga maji kupunguza vumbi halifanywi mara kwa mara jambo linalosababisha siku nyingine kuwe na vumbi inafika hatua unatamani hata uende ukaoge kwanza. Wengine wanapata mpaka mafua.
 
Back
Top Bottom