Maisha yako kasi sana mkuu Mwaseba sasa ni Brigedia Gen last time alikua Marekani ,Mayebe nilimuacha akiwa Major ,Kisonga alikua anazngua mademu wa pree form 5 na kumbuka siku raia tulizingua kurudisha viti nyambizi hall mvua ilikua ina nyesha skauti moja akafunga geti aka ita MP walikua...
Major Mayebe....kuna siku huyu afande alikua ana watafuta watoro,kuna jamaa aka ruka senyenge huku nyuma karibu na nyambizi kwenda mbuyu wa kota,afande mayebe hakupata tabu alishika alama ya viatu vya jamaa aka muacha msela aliruka kavu ya mbele asikamatwe.kesho yake Mayebe alipita kila...
Mkuu na kubaliana na wew 100%, na jamaa yangu baada ya mim kuanza mradi wa shamba la nguruwe huyu rafik aka hamasika muda huo huo mwenzangu yuko masomon hapo st joseph ya mbez,alikua ana fugia goba sasa jamaaa muda wa kwnda shambani hana ana fuga kwa simu kusema apite muda hana kabisa,jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.