Recent content by Kipopori

  1. K

    Muhimu kwako mpiga kura mwenzangu

    *ni kweli hiyo no。*152*00#nimeitumia inatoa majibu
  2. K

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Mafinga jkt e coy kwa afande mangwembe we acha tu ,kwenye mziki tukiwa na lali wawa ,mbio ndefu tukiwa na nyoka,hiyo ilikuwa operation usafi kabla ya vita,na afande makona usisahau mp ngere, ee bwana acha tu ,mahindi ya kuchoma na uchinjaji wa kiti moto.mkuu wa kambi msilu, sharp shooter afande...
  3. K

    Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

    Huku sumbawanga tuliokuwa tunasikiliza tulishangilia kama vile goli limefungwa.welldone Mbowe.
  4. K

    Jenerali Ulimwengu: Huu ndio mwanzo wa kifo cha CCM kilichobashiriwa?

    Mwenye macho haambiwi tazama,Jenerali umesema.
  5. K

    Picha ya leo, ipe maneno

    Chadema...you are the light!!!!!
  6. K

    Sentensi 50 Bora zilizosemwa wakati wa Kumkaribisha Lowassa UKAWA

    Amenifurahisha sana mh.Mbowe....ukimchukua malaika ukamweka ccm baada ya mwezi utamkuta amegeuka na kuwa shetani.!!!!big up Mbowe.
  7. K

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    Ukifuatilia kwa karibu utagundua kuwa wachagga ni jamii yafamilia 12 nazo ni,WAROMBO,WAMWIKA,WAMAMBA,WAMARANGU,WAKILEMA,WAKIRUA,WAMOSHI,WAURU,WAKIBOSHO,WAMACHAME,WAMASAMA,NA WASIHA.Sasanitawaeleza,asili yahawa waislam wamasama roo,kwasadala,mudio na wale wa kalali.
  8. K

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti afariki dunia

    My scout master at Ifunda Tech. In 1971 ,greatly remembered...R.I.P
  9. K

    Vincent Nyerere amstaafisha rasmi Ben Mkapa siasa

    Mh. Nasari,MUNGU NI MWENYE NEEMA NA REHEMA,MTUMAINI YEYE SIKU ZOTE,HATA DAUDI ALIKUWA KIJANA,NA YERUSALEM UKAITWA MJI WA DAUDI .USITISHWE NA FISADI YOYOTE,TUPO PAMOJA NA WEWE KIROHO.MTUMAINI BWANA UTAISHI...peoples pow....er. AMEN.
  10. K

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Nateremsha kiti moto tumboni na soda ya mountain dew. Chadema ni zaidi ya faru.viva cdm,DR.Slaa,MH.mbowe, mh.V.NYERERE,LEMA NA WENGINE ,HONGERA! Peoples power.
  11. K

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Mimi nalala kwa raha zote,well done cdm,hongera sana makamanda wote,hakuna kikwazo tena ,bye bye our love CCM!
  12. K

    Shoga maarufu jijini Dar, Anti Asu

    Huyu kwa lugha ya kwetu tutamwita MNGETE,
Back
Top Bottom