CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

hii ndiyo safari ya mwisho wa kisiasa kwa bwana Ngoyai EL

utabiri wa samuel sitta Arumeru umetimia

ushiriki wa Nape Nnauye na undumila kuwili umedihirika

safari ya Lowasa kuelekea 2015 shakani
 
Matokeo vituo 80 wkt vituo vk 300 unawapa watu majibu hewa bado ndo kwaaanzaaa mimba imetungwa subiri upepeo utakaovuma nyambaaaaafffff
Sio vituo 80 ni asilimia 80 ya vituo vyote piga mahesabu ni vituo vingapi, inauma lakini nitakusaidiaje.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
naamini nguvu ya umma inaweza kutoa hatma ya uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki. ila tuwe na subira, japo polisi wameaumua kutumia mabomu. inadhihirisha kabisa kuwa demokrasia imekua tanzania.
 
kutoka kwa kamanda lema ccm imechukua kata 3 chadema 14...kwa sasa ni kujumlisha matokeo ya jumla ccm wamejaribu kuja na matoke yao uchakachuaji unashindikana kabisa ndani yupo lema na nilishasema ccm walitabiriwa kuchukua kata 5 lakini tuliahidi kuzipunguza na tumezipunguza...piposss powerrrrrrrrrrr
 
Nashindwa kuelewa kabisa inakuwaje kwa technology ya sasa NEC hawajatoa matokeo ya jumla? Kila kituo imehasabu hapo hapo na matokeo kubandikwa ukutani, wanashindwaje kutoa at least prelimanry results wakati wanafanya huo uhakiki wao?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hata lisaboni songea ccm wamekiri mwaka 2010 waliiba kura!ukweli umedhihiri leo!
 
:car:peoplessssssssss.........................Power

:tape2:CCM:tape2:
 
Jamani cwezi elezea furaha yangu,matusi yote,wakubwa wote,bado ndugu zangu wamewabwaga ccm,kwa kweli natamani miaka iende tufike 2015 tubanane mpaka kieleweke,
 
sio rahisi hivyo labda kama kura zinapigiwa JF

Hata kama wewe ni magamba basi utakuwa nje ya mkoa wa Arusha! Tunaojua Arusha kukoje tuna uhakika na hali halisi. Utake usitake, piga ua garagaza magamba chali!
 
Kwa hiyo watakuwa wamejitia mimba wenyewe kama alivyosema lusinde? hahahah, utamu mtupu!!!!!
 
173 Reactions
Reply
Back
Top Bottom