Recent content by kipingo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kupwa, kujaa na kuhama kwa maji ya bahari

    umepata ....hilo ndio jibu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mpya pita hapa upate madini

    hiyo ni kweli kabisa...la kuongezea tukawe watii na kuheshimu kazi, dai haki yako kisheria....wapo waalimu watakao pandikiza mbegu mbaya kwa wageni kuwa makini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Onaa maajabu....hebu fuata maagizo uone vituko.

    jeri.com
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Ualimu Morogoro afariki dunia

    poleni wana Motco na wadau wote wa elimu.....naikumbuka Mayombo Day
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wilaya Arumeru atoa agizo kila mwalimu kutoa tsh 50,000 ujenzi wa maabara

    senti TANO kipande simpi huyo dhalimu ... maabara...yeye ametoa sh ngapi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wilaya Arumeru atoa agizo kila mwalimu kutoa tsh 50,000 ujenzi wa maabara

    senti TANO kipande simpi huyo dhalimu ... maabara...yeye ametoa sh ngapi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa

    Habari wana JF, ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu swala hili. Matangozo ya ajira hasa ktk taasisi za serikali yanapotolewa huwa wanasisitiza kuwa, kama unaomba nafasi ya kazi na huku umeajiriwa ktk utumishi wa uma basi barua yako ya maombi ipitie kwa muajiri wako. Sasa naomba nifahamishwe faida...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale walimu wazoefu na watarajiwa em piteni hapa for a while..............

    La msingi kama jamaa zako au wazazi wanajiweza ,wajiandae kukupa fedha kidogo ya kukusaport kabla ya mshahara, .....ishu ya mishahara inategemea na halmashauri uliyopo, wapo wakurugenzi wanaojali watawalipa kwa muda ht kabla hazina haijatoa salary..........ninavyojua fedha ya kujikimu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwl wa sec. anaetaka kuja ULANGA morogoro,kutoka Tanga, pwani au Morogoro manispaa, tafadhali nitumie PM
  10. K

    JamiiForums Tanzania Laana? Ampa ujauzito mama yake mzazi, ajipanga kumuoa kabisa!

    .: ni hapo RUVUMA tu kwa Tz
  11. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwl idara ya sec. wilaya ya Ulanga morogoro , yeyote anaetaka kuja huku kutoka Tanga, morogoro manispaa au pwani....nitumie PM
  12. K

    JamiiForums Tanzania Anti-Balaka: Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), Kama hayatuhusu vile...

    ni kweli kabisa nchi za Afrika ni lazima lione hili, umoja wa Afrika utoe tamko na kuchukua hatua dhidi ya kikundi cha anti balaka.....lkn pia kama kweli ni kikundi cha kikristo basi umoja wa maaskofu na taasisi za dini zitume wajumbe huko kwani viongozi wa dini watakuwa na ushawishi mkubwa kwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waislamu Afrika ya kati wanateseka, wanauawa kinyama na Antibalaka

    Wakristo wa antibalaka wanadai kuwa wanalipiza kisasi, hilo si jambo zuri hata kidogo kufanya hivyo, na nina amini sio wakristo wote wanataka kulipiza kwani wapo waislamu zaidi ya 200 ambao wamehifadhiwa kwenye kanisa moja huko CAR. Watanzania tujiepushe kabisa na hii migogoro ya kidini ni kweli...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

    Diploma mi wazuri katika ufundishaji, maadili na content pia kwa level yao. Pia wanawashinda waalimu wengi wa degree kwenye practical preparation.Degree wanajua content ngumu zaidi ya diploma.
  15. K

    JamiiForums Tanzania A Catholic nun gives birth in Italy

    mmmmh jamani,msijiingize kwenye maagano msiyo weza.....shika neno , tenda neno
Back
Top Bottom