Recent content by kipangwaaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania kuna wanawake hawakatai

    Ukiona vya bwerere hvyo mpk vya kwenda kugaramikiwa shtuka kuna zito unaloenda kupewa,shauri yako!!!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania kwa nini wasichana ambao hawajazaa wako hivi?

    Habari ya hapa, umetishaaaaaaaaaaaa!nimejikuta nakupenda bure wapewape vyao!!!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Ukweli Hubeba Ujauzito!

    Ha ha ha ha cpati picha na mbwembwe Za maneno hayo yote tena umenena kwa lugha ngeni hlf kitu c chako ha ha ha ha
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbona humu ni mapenzi tu!

    Division five hii jmn ,msimlaumu sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyovalishwa sanda na mganga kisa mapenzi...

    Jina la Yesu ni jina linalopita majina yote,Mungu amejidhihirisha kupitia ww,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dilemma!!!

    Babu yangu aliwahi kuniambia ''Meku mwanamke akudharau wewe ni masikini lakini sio kwenye uanaume wako''. Ha ha ha nimekipenda hcho kipande aiseee!!mianaume ya ckuizi ,mivivu,km co mvivu Ana kibamia hajui kukitumia!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yeye huwa analeta mwanaume nisipokuwepo!

    Wababa wenyenyumba wote duniani wangekua km huyo Mzeee ,mbona maufoooo saro na mamushi yangezidi watu wangebastoliana!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

    Ucjilaumu sana na kukata tamaa,ni kwambie kitu Mungu anakuepusha na kitu na ndio maana yanatoka hayo yanayotokea ,ucjali yupo Yule ambayo Mungu amekuandalia hata angalia ufupi wako,weuc wako wala hicho kibamia,na wala c kitambo kirefu ,c unajua Mungu anafanya kwa Saaa na wkt ulio sahihi,so...
  9. K

    JamiiForums Tanzania BUSTANI HII IPO ULAYA JE IPO NCHI GANI YA ULAYA? CHEMSHA BONGO HIYo

    Bustani ya Eden apo!adamu na eva waleeeeee!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania UDOM kwa hili to much sasa

    Division five hzi jmn ata hazijifichi!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ona, huyu

    Ha ha ha ha mbavu zanguuuuuuu
Back
Top Bottom