Recent content by Kipala kichaa

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni: Faragha ya Mtumiaji

    Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni faragha ya Mtumiaji Kumbuka - Hakuna usiri uwapo Mtandaoni kwa sababu huenda kuna mtu au mfumo unakufuatia uendapo na ufanyacho. Njia za kuwa salama ni zifuatazo; 1- Tumia Password imara 2- Ruhusa uthibitisho wa njia mbili (Two factor Authentication) 3-...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wana jamiiforum ambao hatujawahi kufika Dar es salaam toka tuzaliwe tukutane hapa

    Jirani huyoooooooo nipo darajani hapa karibu na 8 8
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya heshima ya mwaka huu kwa Member wa JF

    Smart911 kwa kushiriki kila thread. Chief-Mkwawa kwa unguli wake wa maswala ya Teknolojia Na Mohamed Said kwa unguli wa historia
  4. K

    JamiiForums Tanzania Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

    Mbeya city
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya City : Photo Gallery

    Mbeya city
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya City's Photo Gallery

    Mbeya city
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini vijana wengi wana uoga wa kuongea mbele ya watu (public speaking)?

    Kusinge ongezwa mda, leo ndio ingekuwa siku ya kumpata bingwa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Hangaya hata gombea ukikaribia uchaguzi watamushauli aache hizo mambo. Trust me
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Binti Upo busy kumupenda mwanaume wa kisukuma ukizani na yeye atakupenda kumbe yeye yupo busy kupenda ng'ombe zake
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga wamechanganyikiwa, oneni hili tangazo

    Kweli wanawatu ndugu zetu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli, mbingu ipo na moto wa jehanamu upo

    Unataka ndugu zetu wasipate sadaka? Kufa kufaana
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cristian Ronaldo ndani ya Man U

    Hongera kwa timu hiyo
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United Ole kama wanataka kombe

    Bado hajazoea uwanja. Alisikika mlevi mmoja akiongea
Back
Top Bottom