Mnatamba [emoji16]Wasukuma tupo kila mahali dah!
View attachment 1937834
Fact [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
Kabisa yaani. Kazi yetu ni ushamba na kutafuta wanawake weupe warefu wanaoburuta mikia...hapo tutahonga hata ng'ombe hamsini...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mnatamba [emoji16]
Hongera mama mwenye nyumba.[emoji120][emoji120][emoji120],siamini kama naitwa mama mwenye nyumba[emoji7]View attachment 1937254
Kuna mmoja humu[emoji23]atakuja akuwakie,mzee wa uvinza,