Mkandara,
Ni lazima Kikwete alaumiwe kwa hili, yeye ni mkuu wa nchi tuliomchagua sisi anawajibika kwetu ( Wananchi ), Yeye ndiye anateua (Wasaidizi wake ) Mawaziri, wakuu wa mikoa, wa wilaya na wakurugenzi wakuu wa mashirika ya umma kutokana na ushauri wa wizara husika, wakurugenzi hao...