Recent content by KiongoziMkuu

  1. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyogonga mwamba kwa Rais Magufuli

    Yalipigiwa kura. Usidanganye uma.
  2. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Hujui unachokisema ndugu. Haiandikwi %95 bali 95% la sivyo andika kwa kiswahili tu asilimia tisini na tano. Umeshapoteza sifa za kua mmoja wa wakosoaji.
  3. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi zinazofukuza nyoka zaidi ya hizi?

    Fuga kuku wako tu nyumbani hutaona nyoka.
  4. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawatia kiwewe CCM mkoa wa Mara

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Lengo lake huyu dada ni nini?

    Napaya wasiwasi kama habari hii ni ya kweli. Ila kama ni kweli, bado kuna mengi sana yanayoweza kuwa nia ya huyo dada. Labda amekupenda sababu huwa anaona mada zako kwenye social networks kama alivodai ama pengine kakuona kama ni mtu ambae utaweza kumsaidia tatizo lake fulani kutokana na hali...
  6. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Nani alikufundisha kufanya mapenzi/romance mara ya kwanza?

    Aiseeeeeeee hii kali
  7. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Nani alikufundisha kufanya mapenzi/romance mara ya kwanza?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimefurahi ila pia nimesikitika sana kwa aliyetoa mada juu kabisa.
  8. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Watanganyika?? Kweli Mwl. Nyerere aliona mbali. Hii dhabhi itawatafuna kila siku.
  9. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Huna unachokijua wewe. Kama unajua chochote Ebu wewe tueleze ukweli wa huo uongo niliousema hapo. [emoji57]
  10. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Napata mashaka sana ufwatiliaji wa chaguzi hizi za marekani. Watu wanaleta maneno ya mitaani hapa. Kama husomi magazeti, na hupitii websites za habari za nje tofauti tofauti lazima utasema Trump hakusema africa hayo.
  11. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Nakubaliana na wewe
  12. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Basides alisema Africa inabidi itawaliwe upya! Sasa si matusi kabisa haya.
  13. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Hahahahaha embu tujuzee zako za Skysports goddamn! Anzisha mada hapa uone uelewa wangu kwenye International issues. Am a diplomat for your information!
  14. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Asante Jacob. Thats a clear definition kuwa hata wao hawampendi.
  15. KiongoziMkuu

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli wamarekani wanataka kumpa Trump Urais?

    Wacha ushamba ndugu. Mbona wao wanashobo na chaguzi zetu kama Zanzibar???
Back
Top Bottom