Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,073
Kufuatia moto wa CHADEMA kuwa mkali na hivyo kupelekea wananchi wengi kuipenda CHADEMA na kuisusa CCM,wanaccm kupitia jumuiya ya wazazi mkoa wa Mara wameanza kufanya kwa kukurupuka bila kujali mipaka yao ya kiuongozi na kuwatishia watumishi wa taasisi za kiserikali kuwa jumuiya hiyo ya wazazi ya CCM itaanza kuwachukulia hatua hao wafanyakazi.
Hivi jumuiya ya wazazi ya CCM imepata wapi mandate ya kuwafukuza watumishi wa umma?
Naamini CHADEMA imeanza kuwatia kiwewe hao CCM.
Hongereni sana wanachadema na UKAWA kwa ujumla, kazeni uzi hivyo hivyo