Recent content by kinyoba

  1. kinyoba

    Unakumbuka mikwara ya Umsolopagas katika safari ya Alan Quarterman?

    Tulikiita K.K ( kikosi Cha kisasi)
  2. kinyoba

    Unakumbuka mikwara ya Umsolopagas katika safari ya Alan Quarterman?

    Kiliandikwa na Muingereza. H. R. Haggard
  3. kinyoba

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Ndizi mwenye Keria zimejaa. Kitu Leyland Nyuma imeandikwa ZIPOMPAPOMPA. Siwezi sahau.
  4. kinyoba

    Natafuta wimbo wa Rafael alikuwepo by Fred Saganda

    natamani sana kujua namna ya kuzipata zile filamu zake zilikuwa zina mafundisho sana. zilikuwa zinahusu athari za madawa ya kulevya na bangi. hebu tuambie namna ya kuzipata maana vijana wetu wanapotea hakuna mafundisho yoyote ya maana wanayopata kupitia hizi Bongo movie za sasa.
  5. kinyoba

    TANESCO yaanza kutumia makundi ya WhatsApp kuwasiliana na wateja

    jambo zuri ila matumizi ya whatsapp ni nonsense. hivi hii inchi na madigrii yote ya IT na computer watu hawawezi kutengeneza APPS kwa ajili ya mambo kama haya? hata Tanesco wanaweza kuwa na App yao wenyewe ya kuwasiliana na wateja wao na haina ubishi kila mtu ataipakua kwa sababu umeme ni swala...
  6. kinyoba

    Huyo De Gea ni jini!

    lazima atakuwa ni FREEMASON...
  7. kinyoba

    Tukio litakalopima urais wa Magufuli

    kuna nabii ameshaongea na Mungu wake akasema kuna waziri atakufa..
  8. kinyoba

    Maajabu: Sukari, Alizeti na Soya kutoka Uganda, sasa kuingia Tanziania bila tozo aina yoyote

    lazima tulalamike sana kwa sababu tunapenda usingizi. ila hiyo ni fursa kwa watanzania siku chache zijazo pale viwanda vyetu vitakapoanza kuzalisha sukari zaidi ya uganda. actually sisi ndio tutawauzia sukari.
  9. kinyoba

    Je, ni kweli kwamba ukitaka kusafirisha Kitanda mkoa mmoja hadi mwingine unahitaji Kibali cha Maliasili?

    kuna baadhi ya sheria zina watia aibu hao waliozitunga. hii sheria ya kuzuia mtu asisafirishe kitanda ni moja kati ya sheria ya hovyo kabisa mimi kuwahi kuisikia. inawezekana hii sheria ina mapungufu fulani katika maelezo sasa hao watekelezaji wa sheria wanashindwa kujiongeza au kutumia busara...
  10. kinyoba

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    umenena vema. Tanzania sio nchi kubwa wala haina watu wengi sana ambao watalazimika sana kusafiri na ndege. kuna uwezekano bei za ndege zikapanda sana kwa sababu soko litakuwa linamilikiwa na ATCL pekee. safari nyingi tanzania ni mwendo wa siku 1 tu. watu hawatalazimika sana kupanda ndege na...
Back
Top Bottom